warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Just have a look at people ambao zari Ana hang out nao, then kabisa bila aibu tulikua tunamfananisha na vikatuni vyetu vya hapa bongo ambavyo havijielewi, Ila wabongo Tuna dhambi, zari is a woman of class bwana , anajielewa, huyu mama she is on her own league.
Picha zifuatazo zinamuonyesha zari akiwa kwenye event kubwa ya luxurial life style iliyofanyika huko SA akiwa pamoja na watu wakubwa maarufu kwenye sector ya burudani.
Ila zari anajua kunyoosha aiseh, cheki alivyotokelezea