Picha: H. Baba, Florah ndani ya mjengo mpya

Picha: H. Baba, Florah ndani ya mjengo mpya

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wanandoa , muigizaji Flora Mvungi ' H. Mama' na mwanamuziki Hamis Ramadhan ' H. Baba ' wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa

Akizungumzia mjengo huo walioupanga maeneo ya Mbezi -Jogoo , jijini Dar , H. Mama alisema yeye na mume wake wameamua kupanga nyumba hiyo si kwa sababu ya kumfunika mtu bali wanapenda kuwa huru na kuishi vizuri.

"Hatushindani na mtu katika maisha yetu bali cha msingi tunaangalia nafsi zetu zinataka nini, kuhusu gharama yake, niache kidogo, "alisema Flora .Wema amepanga nyumba ya kawaida maeneo ya Kijitonyama jijini Dar .
 
Attachments

  • 1413886841422.jpg
    1413886841422.jpg
    38.2 KB · Views: 4,027
Mwenzangu, eti wanafanya mambo wanayowaweka huru na kuridhika na nafsi zao, wenzetu wameridhika na nyumba ya kupanga, tena ghorofa utawataka

mi nkajua yao mbona hawana akili hao halafu eti ndo mr &mrs"kuna baba mwenye nyumba hakuna baba mwenye gari"
yaani wanacha kumtengenezea mtoto future au ngadaaa...?!!!!
 
Kila mtu akijenga je baba /mama wenye nyumba watakula wapi?

Kila mtu na mpango wake pesa ni yao.Ila mimi siwezi kupanga ilo jumba nionekane nakaa poa hiyo pesa ningejenga au kununua nyumba.

Hiyo nyumba si chini ya Dolla 1000-1500.

Siku zote uangalie mbele je ukifariki ghafla familia itaweza kulipa pango?
 
Hiyo kodi ya hapo wangejenga nyumba ya maana, otherwise iwe kuna ujenzi unaendelea sehemu.
 
Kila mtu akijenga je baba /mama wenye nyumba watakula wapi?

Kila mtu na mpango wake pesa ni yao.Ila mimi siwezi kupanga ilo jumba nionekane nakaa poa hiyo pesa ningejenga au kununua nyumba.

Hiyo nyumba si chini ya Dolla 1000-1500.

Siku zote uangalie mbele je ukifariki ghafla familia itaweza kulipa pango?

Kuna watu wao wanafocus starehe tu, akidanja familia itajijuuu!!
 
Kila mtu akijenga je baba /mama wenye nyumba watakula wapi?

Kila mtu na mpango wake pesa ni yao.Ila mimi siwezi kupanga ilo jumba nionekane nakaa poa hiyo pesa ningejenga au kununua nyumba.

Hiyo nyumba si chini ya Dolla 1000-1500.

Siku zote uangalie mbele je ukifariki ghafla familia itaweza kulipa pango?

Ndio walewale umesahau ya Kanumba???
 
Back
Top Bottom