Picha: H. Baba, Florah ndani ya mjengo mpya

Picha: H. Baba, Florah ndani ya mjengo mpya

Wamepanga nyumba nzuri sawa.... Mbona gari mbaya ivo? Kama chuma chakavu au tax za dodoma mweee

watu wanatofautiana bwana....kuna watu wana mijengo ya maana ila ukiangalia gari zao utachoka.......na kuna watu wana magari ya maana ukiangalia mijengo yao......utakaa uamini.......
 
Wanandoa , muigizaji Flora Mvungi ‘ H. Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘ H. Baba ’ wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa

Akizungumzia mjengo huo walioupanga maeneo ya Mbezi -Jogoo , jijini Dar , H. Mama alisema yeye na mume wake wameamua kupanga nyumba hiyo si kwa sababu ya kumfunika mtu bali wanapenda kuwa huru na kuishi vizuri.

“Hatushindani na mtu katika maisha yetu bali cha msingi tunaangalia nafsi zetu zinataka nini, kuhusu gharama yake, niache kidogo, ”alisema Flora .Wema amepanga nyumba ya kawaida maeneo ya Kijitonyama jijini Dar .

Pumbavu wakubawa nyie mnaoga maji ya mvua nje nini? yaani bila aibu kabisa unakuja kusifia nyumba ya kupanga? na mwenye nyumba asemeje? yaaani shule muhimu nyie? hiyo nyumba si chini ya $1500 per month sasa hizo 2,000,000 X 12= 24,000,000 yaani nyie ndiyo *************** kabisa
 
Watu walioelimika huwa hawajadili kuhusu sauti ya mtu au kuropoka tu eti kapitwa na wakati tunachojadili ni je anaweza ishi kulingana na wakati??mambo mengine tunatupia kule kwani hayana maana.kwani huwezi sema flani anapesa wakati anatembea kwa miguu harafu akiwa amevaa ndala zisizo fanana.sasa wewe hapo siutakuwa unajadili ujinga????inshort H.baba na mrs wake wako vizur kwani uzuri wa kazi zao ndio unaozihirisha maisha yao binafsi.
 
Jamani mbwembwe katika nyumba ya kupanga....!?
 
yani wanajitahidi kujipaisha.ila watu hatuna habari nao.hizi show off zinawacost hawa.si watulie tu.maana wanajitahidi wamake headline lakini wapi.

Zote hizo ni akili za kijinga za flora kutaka kumrusha roho Uwoya
 
bongo mavi mda wote wako location

Ni ukwely kbsa hawa ndugu zetu maisha yao yote ni kuigiza hawana maisha. Am just thinking of their little angel. Jmn katika maisha kosea kila kitu ila usikosee mke au mume jmn koz ndo atake kuwa mshauri wako na atakae kufanya ushuke kimaisha au upande kimaisha. Huyu h baba na h mama jmn mmmmmh mungu awafungue tu akili zao jmn. Au mafreeeeemasonnn jmn washajitoa muanga
 
Speaking of kupanga ghorofa jee wamelitendea haki au ndo unaishi kwenye nyumba ambayo ukiita mtu unaitikiwa upande wa pili na miale ya sauti yako mwenyewe. Ila upo kwenye ghorofa. Inahusu lkn ngoja nikojoe nilale mieeee
 
huyu HBaba ana masifa ambayo hayana kichwa wala miguu...mziki wenyewe anafanyia walinzi..
 
Nilidhani wamejenga....kumbe wamehire....
 
Kwanini Wasanii wa Tanzania lazima watangaze kila wafanyacho?
 
Zote hizo ni akili za kijinga za flora kutaka kumrusha roho Uwoya

Na kwel anataka kumrusha roho uwoya, amuonee huruma tu maana uwoya sasa ivi ana hali mbaya sana kafulia
 
Na kwel anataka kumrusha roho uwoya, amuonee huruma tu maana uwoya sasa ivi ana hali mbaya sana kafulia

Nakuambia uwoya kazeeka jamani!!!wakati alikua talk of the town enzi zile...nasikia alikua anafundishwa na masogange upunda
 
Back
Top Bottom