Picha: H. Baba, Florah ndani ya mjengo mpya

Picha: H. Baba, Florah ndani ya mjengo mpya

Wanajishaua kujifanya ndo akina jay z na beyonce, maana bibie flora na yeye siku izi anaimba, yan ukisikia anavyoimba utataman kumzaba vibao, na izo pesa sijui wanapata wapi wasitudanganye mziki

Hahahaaaa,na kile kisauti sasa??hata huyo mumewe sijui anaimba nini nae muziki umeshamtupa
 
Hhhhhaaaaa et utatamani umzabe vibao na macho yao yale yanafanana,bina niliona video et wanasema ni ya Ngwea kapasuliwa katikati mbavu zimeachanishwa,halaf utumbo wanatoa kete za madawa ya kulevya ee niliogopa bina zile kete unameza au? ?halaf watu wengi humo chumbani sijui kwanini,halaf inaruhusiwa jaman kumsambaza marehemu akifanyiwa vile tena uchii lo

Mh,unajiweza wewe???hadi ukaimalizia?Mimi siwezi kwa kweli japo sijaiona....
 
Bina nyumba ipi kodi ni milioni na nusu???hiyo waliopanga

Tena inaweza ikawa zaidi binamu, mi nyumba za mbezi beach nazijua vizur binamu, unaweza kukuta nyumba ya kawaida unaambiwa laki nne kwa mwez, sasa hilo ghorof unadhan utaambiwa laki sita au saba? Haiwezekani
 
Tena inaweza ikawa zaidi binamu, mi nyumba za mbezi beach nazijua vizur binamu, unaweza kukuta nyumba ya kawaida unaambiwa laki nne kwa mwez, sasa hilo ghorof unadhan utaambiwa laki sita au saba? Haiwezekani

Kumbe ulimaanisha kwa mwezi milioni na nusu sio kwa mwaka ee nilitaka kushangaaaa
 
Wanandoa , muigizaji Flora Mvungi ‘ H. Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘ H. Baba ’ wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa

Akizungumzia mjengo huo walioupanga maeneo ya Mbezi -Jogoo , jijini Dar , H. Mama alisema yeye na mume wake wameamua kupanga nyumba hiyo si kwa sababu ya kumfunika mtu bali wanapenda kuwa huru na kuishi vizuri.

“Hatushindani na mtu katika maisha yetu bali cha msingi tunaangalia nafsi zetu zinataka nini, kuhusu gharama yake, niache kidogo, ”alisema Flora .Wema amepanga nyumba ya kawaida maeneo ya Kijitonyama jijini Dar .

Kama umepanga au huna nyumba hauhitajiki kutukana hapa
 
Na kodi yake kwa mwaka sio chini ya milion moja na nusu, na ivi iko mbezi beach bei yake si ya kitoto, sasa apo wema anahusika vipi? Hao si wanandoa si wawashindanishe na mastaa wenye ndoa kama wao, wema wamfananishe na malaya wenzie akina lulu,wopler na aunty

Milioni 1.5 kwa mwaka au kwa mwezi?
 
Yaani kupanga kwa wanaume wenzio au kwa wamama na wadada wenye nazo nayo ni sifa???!!! Nilifikiri wamejenga kumbe kupanga. Aibu sana.
 
hapo wamepanga wanajinadi hiviiiiiii....wangejenga je..tungekunywa majiiii......heeee
 
chako ni chako hata kama kidogo.......wajitahidi wajenge...... ili hata siku wakikwama basi wapate pa kuwasitiri.......siyo baadae wanakwama wanakuwa wakimbizi......leo kwa mshkaji huyu...kesho kwa yule.......
 
Back
Top Bottom