Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajishaua kujifanya ndo akina jay z na beyonce, maana bibie flora na yeye siku izi anaimba, yan ukisikia anavyoimba utataman kumzaba vibao, na izo pesa sijui wanapata wapi wasitudanganye mziki
Hhhhhaaaaa et utatamani umzabe vibao na macho yao yale yanafanana,bina niliona video et wanasema ni ya Ngwea kapasuliwa katikati mbavu zimeachanishwa,halaf utumbo wanatoa kete za madawa ya kulevya ee niliogopa bina zile kete unameza au? ?halaf watu wengi humo chumbani sijui kwanini,halaf inaruhusiwa jaman kumsambaza marehemu akifanyiwa vile tena uchii lo
Bina nyumba ipi kodi ni milioni na nusu???hiyo waliopanga
Tena inaweza ikawa zaidi binamu, mi nyumba za mbezi beach nazijua vizur binamu, unaweza kukuta nyumba ya kawaida unaambiwa laki nne kwa mwez, sasa hilo ghorof unadhan utaambiwa laki sita au saba? Haiwezekani
Wanandoa , muigizaji Flora Mvungi H. Mama na mwanamuziki Hamis Ramadhan H. Baba wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa
Akizungumzia mjengo huo walioupanga maeneo ya Mbezi -Jogoo , jijini Dar , H. Mama alisema yeye na mume wake wameamua kupanga nyumba hiyo si kwa sababu ya kumfunika mtu bali wanapenda kuwa huru na kuishi vizuri.
Hatushindani na mtu katika maisha yetu bali cha msingi tunaangalia nafsi zetu zinataka nini, kuhusu gharama yake, niache kidogo, alisema Flora .Wema amepanga nyumba ya kawaida maeneo ya Kijitonyama jijini Dar .
Mh,unajiweza wewe???hadi ukaimalizia?Mimi siwezi kwa kweli japo sijaiona....
yaan hawa watu wanatafuta Kik lakini watu kama hawawaoni!! walinichekesha eti wamepeana tuzo mtu na mke wake
Na kodi yake kwa mwaka sio chini ya milion moja na nusu, na ivi iko mbezi beach bei yake si ya kitoto, sasa apo wema anahusika vipi? Hao si wanandoa si wawashindanishe na mastaa wenye ndoa kama wao, wema wamfananishe na malaya wenzie akina lulu,wopler na aunty
bongo mavi mda wote wako location
hapo wamepanga wanajinadi hiviiiiiii....wangejenga je..tungekunywa majiiii......heeee
Ila tuache masihara jamani Hbaba ana hela siku hizi