Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
watu wanakuwa huru kwenye nyumba zao si za kupanga.suala la kodi linakondesha wewe.waambie waache mbwembwe wakajenge hata kibanda chao ndo watakuwa huru....
Hapo kuhusu KODI ni zaidi ya MTAJI wa mlalahoi mkuu... Mjini kuzuri sana ila panapendeza zaidi ukiwa unaishi kwakoHivi kupanga nyumba kama hiyo kodi yake kwa mwaka si kama mtaji wa mlalahoi
Nimeshtuka nikadhani yao,looh
Wanandoa , muigizaji Flora Mvungi H. Mama na mwanamuziki Hamis Ramadhan H. Baba wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa
Akizungumzia mjengo huo walioupanga maeneo ya Mbezi -Jogoo , jijini Dar , H. Mama alisema yeye na mume wake wameamua kupanga nyumba hiyo si kwa sababu ya kumfunika mtu bali wanapenda kuwa huru na kuishi vizuri.
Hatushindani na mtu katika maisha yetu bali cha msingi tunaangalia nafsi zetu zinataka nini, kuhusu gharama yake, niache kidogo, alisema Flora .Wema amepanga nyumba ya kawaida maeneo ya Kijitonyama jijini Dar .
Mi nadhan ingekua yao ingependeza kumbe kupanga, hhhhhaaaaaaaaaaa,bado sana wajengeee
Ndio walewale umesahau ya Kanumba???
yaan hawa watu wanatafuta Kik lakini watu kama hawawaoni!! walinichekesha eti wamepeana tuzo mtu na mke wake
Na kodi yake kwa mwaka sio chini ya milion moja na nusu, na ivi iko mbezi beach bei yake si ya kitoto, sasa apo wema anahusika vipi? Hao si wanandoa si wawashindanishe na mastaa wenye ndoa kama wao, wema wamfananishe na malaya wenzie akina lulu,wopler na aunty
ahaha ahahh, eti wanapeana tuzo wenyewe, maskin wanajitahid wenyew kujiongeza na kujifanya maarufu ila wapi, umaarufu una watu wao bhana, watulie tu
Wanajishaua kujifanya ndo akina jay z na beyonce, maana bibie flora na yeye siku izi anaimba, yan ukisikia anavyoimba utataman kumzaba vibao, na izo pesa sijui wanapata wapi wasitudanganye mziki
wasanii wa bongo muvi kichekesho kweli aisee.
Mmh, usikute wamepanga vyumba viwil au kimoja, hawana ubavu wa kupanga ghorofa nzima hiyo, ndo yale yale ya kajala kujifanya kapanga ghorofa sinza kumbe kapanga juu tu, ila ata kama kapanga vyumba viwili, unajua mbezi beach nyumba ya chini tu ni bei mbaya kupanga, sembuse ghorofa, huyo h baba ajiangalie, na asidanganye mziki ndo umemlipa
Akili ilinituma fasta kwenye sembe......