Picha!Ha ha ha,eti Diamond na Obama

Picha!Ha ha ha,eti Diamond na Obama

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
graphics bwana,we acha tu....
attachment.php
 
Umemtengeza Nasibu domo ili nae afanane na binaadamu? kazi unayo! sasa hapo anacheka au anatabasamu? maana huo msura ulivyomkomaa cjui huw anakula saruji!! na hilo domo hiv chapati huwa anakunja huyu??
 
Bila shaka umefungwa na Diamond....lo!
 
Umemtengeza Nasibu domo ili nae afanane na binaadamu? kazi unayo! sasa hapo anacheka au anatabasamu? maana huo msura ulivyomkomaa cjui huw anakula saruji!! na hilo domo hiv chapati huwa anakunja huyu??

Umenifanya ncheke zaid ya nilivyoiona picha lol!
 
Daaah! Hilo domo mpaka nimeona utumbo ulivopangika tumboni!
 
duh??diamond kawa diamond kweli..daily kama sio kwenye gazeti basi,tv ama mtandaoni...nimeamini umaarufu haujali Baya ama Zuri.ktk kukuza jina la mtu husika
 
Umemtengeza Nasibu domo ili nae afanane na binaadamu? kazi unayo! sasa hapo anacheka au anatabasamu? maana huo msura ulivyomkomaa cjui huw anakula saruji!! na hilo domo hiv chapati huwa anakunja huyu??

Chapati huwa anatupiamo kama karanga..
 
Now i declare kwamba wewe si bure bali huyo domo chapati anakupumulia mgongoni. Yes i said it.

Dah , kwa hiyo umeamua kumchana streit moja kwa moja dairekti laivu..!??? we mkali..
 
Umemtengeza Nasibu domo ili nae afanane na binaadamu? kazi unayo! sasa hapo anacheka au anatabasamu? maana huo msura ulivyomkomaa cjui huw anakula saruji!! na hilo domo hiv chapati huwa anakunja huyu??
Mmh jamani hivi Mungu angetujalia kuchagua maumbile yetu yaweje kabla ya kutuumba naona wote tungechagua tufanane na malaika maand io naimagine kuwa ni wazuri wasio na kasoro.

ila umenifanya nicheke sana yaani sijui kwa furaha au masikitiko au mshangao kuwa watu wengine sijui huwa mnawaza nini masaa yote.
 
Haaa haaa haaa acha nicheke mie, jamaa ana domo kubwa na mijino kama ngiri. Duh!!!
 
Back
Top Bottom