heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
graphics bwana,we acha tu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemtengeza Nasibu domo ili nae afanane na binaadamu? kazi unayo! sasa hapo anacheka au anatabasamu? maana huo msura ulivyomkomaa cjui huw anakula saruji!! na hilo domo hiv chapati huwa anakunja huyu??
Now i declare kwamba wewe si bure bali huyo domo chapati anakupumulia mgongoni. Yes i said it.graphics bwana,we acha tu....
Now i declare kwamba wewe si bure bali huyo domo chapati anakupumulia mgongoni. Yes i said it.
Daaah! Hilo domo mpaka nimeona utumbo ulivopangika tumboni!
Umemtengeza Nasibu domo ili nae afanane na binaadamu? kazi unayo! sasa hapo anacheka au anatabasamu? maana huo msura ulivyomkomaa cjui huw anakula saruji!! na hilo domo hiv chapati huwa anakunja huyu??
kwa jinsi unavyoandamwa na post zako za bwana kialmasi huchoki tu??
Now i declare kwamba wewe si bure bali huyo domo chapati anakupumulia mgongoni. Yes i said it.
Chapati huwa anatupiamo kama karanga..
Ushauri wa bure kwako, kama unampenda sana Diamond na unasema ana pesa mingi, mshauri akafanye surgery ya mdomo kwanza, wazungu huwa hawashindwi kitu.graphics bwana,we acha tu....
Mmh jamani hivi Mungu angetujalia kuchagua maumbile yetu yaweje kabla ya kutuumba naona wote tungechagua tufanane na malaika maand io naimagine kuwa ni wazuri wasio na kasoro.Umemtengeza Nasibu domo ili nae afanane na binaadamu? kazi unayo! sasa hapo anacheka au anatabasamu? maana huo msura ulivyomkomaa cjui huw anakula saruji!! na hilo domo hiv chapati huwa anakunja huyu??