Ukioa mwanamke wa kiarabu unakuwa na kibarua cha kumlisha pilau la mbuzi au biriani kila leo, kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi uhamiaji akawa na vihela vya kutambia mjini akampta mtoto wa kiarabu na kumuoa , mtoto wa kiarabu hala ugali wala wali maharage, yeye ni pilau au biriani la mbuzi kila kukicha kakosa sana wali wa nanzi na samaki wa kupaka, jamaa hali ikaanza kuwa tete kwa kutaka kumridhisha binti wa kiarabu, matokeo yake akafukuzwa kazi kwa kukiuka maadili ya kazi ili amridhishe mtoto wa kiarabu, na hatimae baada ya kuona mume hana kazi mtoto wa kiarabu naye akatimuka na kumuacha jamaa. halafu wanawake wa kiarabu ni wachoyo balaa hasa kwa shemeji wamatumbi hawataki watuone majumbani mwao.