Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Dr HajiHuyu mwamba na Kitenge ni kama wametoka tumbo moja, kuanzia kuongea utumbo hadi kwenye masuala ya ndoa zao na hata kazi zao zinafanana na tabia zao za uchawa zinafanana tofauti ni rangi tu.
Tumeona mbali sana.Yametokea huko uliyoyawazia
Tuliliona hilo kitambo sana,Aisee ulikuwa una maono
Pamoja na kashfa ya ufiraji pia inasemekana vyombo havipigi mziki vizuri.Halafu naskia huyu mzungu wetu anapenda ile michezo michafu.......Naskia ni mf.ira mashoga mashuhuri
Shombeshombe wa Dubai kashapigwa na kitu Kizito tayari, hizo spika anapasuliwa au anapasua?Chombo ya fundiView attachment 2369584View attachment 2369585
Uko sahihi mademu wa kiarabu ni mtihani, Kuna dogo mmoja Co (clinical officer) ni mzazibar yupo Unguja kaoa mwarabu Kuna siku ananiambia kawanunulia watoto wake wa2 nguo nne nne Kila mmoja za kuvaa sikukuu Kila sikukuu nguo yake na mke pia zimemgharimu karibu laki 7 alafu ukija kazini kutwa kusumbua watu kuomba vijiwe vya kufanyia kazi sasa unabaki unajiuliza kwann unaishi maisha ambayo hayaendani na kipato chakoUkioa mwanamke wa kiarabu unakuwa na kibarua cha kumlisha pilau la mbuzi au biriani kila leo, kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi uhamiaji akawa na vihela vya kutambia mjini akampta mtoto wa kiarabu na kumuoa , mtoto wa kiarabu hala ugali wala wali maharage, yeye ni pilau au biriani la mbuzi kila kukicha kakosa sana wali wa nanzi na samaki wa kupaka, jamaa hali ikaanza kuwa tete kwa kutaka kumridhisha binti wa kiarabu, matokeo yake akafukuzwa kazi kwa kukiuka maadili ya kazi ili amridhishe mtoto wa kiarabu, na hatimae baada ya kuona mume hana kazi mtoto wa kiarabu naye akatimuka na kumuacha jamaa. halafu wanawake wa kiarabu ni wachoyo balaa hasa kwa shemeji wamatumbi hawataki watuone majumbani mwao.
Waarabu nuksi wanapenda good life balaaUko sahihi mademu wa kiarabu ni mtihani, Kuna dogo mmoja Co (clinical officer) ni mzazibar yupo Unguja kaoa mwarabu Kuna siku ananiambia kawanunulia watoto wake wa2 nguo nne nne Kila mmoja za kuvaa sikukuu Kila sikukuu nguo yake na mke pia zimemgharimu karibu laki 7 alafu ukija kazini kutwa kusumbua watu kuomba vijiwe vya kufanyia kazi sasa unabaki unajiuliza kwann unaishi maisha ambayo hayaendani na kipato chako
Fasihi simulizi ya Tanzania ni Hatare yani umeelezea jambo zito kwa kutumia music [emoji12][emoji23][emoji12][emoji23]Pamoja na kashfa ya ufiraji pia inasemekana vyombo havipigi mziki vizuri.
Mara inalia speker Moja ,mara mziki kuzima katikati ya uhondo wa ngoma.
Sasa Kuna mwanamke atabaki?
Manara akubali kusaidiwa Kazi kama hataki basi yatamkuta makubwa zaidi.
Yani hata Waarabu wa Sharifu shamba au Tabora umekosa?Muarabu ili umuoe inabidi akupende mwenyewe au uwe na pesa.
Maisha tunayoishi kama mimi hapa sina connection na waarabu na sina pesa ya kuoa kwa mwarabu kwa sasa kwa sababu inahitaji gharama na akupende kweli.
Ukiwa na pesa atakupenda tu ndio maana watu wanaoa waarabu wakishakuwa na pesa.
Na sidhani kama kuna ubaya kutumia pesa zako kuoa mtu unayemtaka.
Hao sio waarabu,ksma hao wamejaa kibao pemba.Yani hata Waarabu wa Sharifu shamba au Tabora umekosa?
[emoji1787][emoji1787]Fasihi simulizi ya Tanzania ni Hatare yani umeelezea jambo zito kwa kutumia music [emoji12][emoji23][emoji12][emoji23]
Heko kwako
Sasa hapo unazungumzia wakishua sio kusema WaarabuHao sio waarabu,ksma hao wamejaa kibao pemba.
Mimi nazungumzia waarabu wale mahalati wakishua waarabu kweli sio hawa wenye ngozi nyeupe wanaoishi uswahilini