Picha: HAMAS wakusanywa kama mifugo, huku Netanyahu akiamrisha waendelee kujisalimisha

Picha: HAMAS wakusanywa kama mifugo, huku Netanyahu akiamrisha waendelee kujisalimisha

Yahya Sinwar hajajisalimisha bado?

IMG_4951.jpg
 
Wengi wanaona isiwe tabu, hawana haja na mabikira ya kule akhera....

View attachment 2842895

Israel’s Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday called for Hamas militants to lay down their arms, saying the Palestinian Islamist group’s end was near, as the war in the Gaza Strip raged more than two months after it began.
“The war is still ongoing but it is the beginning of the end of Hamas. I say to the Hamas terrorists: It’s over. Don’t die for (Yahya) Sinwar. Surrender now,” Netanyahu said in a statement, referring to the chief of Hamas in the Gaza Strip.
.
IMG_20231214_161958.jpg
 
Uharo mtupu hao ndiyo Hamas? 😂 endelea kuwalisha uharo mapunguani wenzako mabwana zenu wameshindwa vita wanakamata raia wanawatesa
Mkuu heshima kwako. Kaka mbona hunijibu? Huyo jamaa zombie kwenye avatar picha yako naye pia ni muislamu? Asee ritz mtu wangu nijibu.
 
Wengi wanaona isiwe tabu, hawana haja na mabikira ya kule akhera....

View attachment 2842895

Israel’s Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday called for Hamas militants to lay down their arms, saying the Palestinian Islamist group’s end was near, as the war in the Gaza Strip raged more than two months after it began.
“The war is still ongoing but it is the beginning of the end of Hamas. I say to the Hamas terrorists: It’s over. Don’t die for (Yahya) Sinwar. Surrender now,” Netanyahu said in a statement, referring to the chief of Hamas in the Gaza Strip.
sema wananchi wa palestina sio wapiganaji wa hamas
 
Shetani ni mbaya sana, aliwaingia October 7 kushambulia Israel ili hamasi wamalizwe baada ya shambulio lile, hakuna nchi ambayo inaweza kuvumilia ushenzi ule, magaidi wanaweza kuchezea nchi za Ulaya na America, hizi nchi zina huruma sana, wanajali sana haki za binadamu lakini magaidi kuchezea nchi kama
1. Israel 2.Rusia 3. China 4.Turkey ni hatari kwa maisha yao, huwezi chezea hizo nchi ukasurvive, kama wanataka wakachezee France, UK, USA, Germany, Spain, Italy , Canada hapo wakikamatwa wanafungwa tu vifungo vya maisha na huku wanakula na kulala vizuri kwenye magereza ya nchi hizo

JR 16. Nakumbuka kusoma mahali ambapo mwandishi alisema ili Israel ifanikiwe vita hii, lazima iwe more brutal (Katili) kuliko Hamas. Nchi kama USA kuna makundi mengi ya hizo "haki za binadamu" ambayo mara nyingi matokeo yake yanaziumiza nchi hizo, na huko nyuma US imekua ikitumia nchi nyingine kumsaidia kufanya kazi chafu kuogopa wana harakati ndani ya USA

Unapopambana na Kikundi kama Hamas zile ambazo zinaitwa Rules of engagement lazima uziweke pembeni, Kelele nyingi zinazosikika kwenye Media mbali mbali mbali ni kwamba Israel inauawa raia, watoto nk, bila kusahau hiyo ndio tactic ya Hamas pia, ndicho walichofanya October 7, Na Wanaporusha maroketi, huko yanapokwenda hayachagui kama raia, watoto, hospitali nk!

Kinachoonekana ni kwamba Israel imeamua kufanya kile kile ambacho Hamas alifanya na kufanya zaidi ya hapo! Inasikitisha lakini ndio Vita, hata kama mapigano yakisimama leo, Gaza itachukua muda tena kuijenga. Sijui Hamas waliyatarajia haya.
 
Wavaa makobasi watabisha 🤣 🤣
Ongeza kichapo IDF hado wote watoke ktk maandaki!
 
Mkuu hongera kwa dini yenu yenye Mungu mmoja hana mshirika na anajua lugha moja tu ya kiarabu. Mkuu naomba kuuliza je Allah ana mkalimani?

incharge Malaria 2 ITR
aliyekudanganya hayo ya lugha ukikutana nae mpige kibao mungu hata mababu zetu kijijini wanamuabudu huyo huyo kwa lugha yao, usichanganye story za vijiweni na quran tukufu ambayo ndio muongozo wetu , na tunaamini mungu kaleta pia torat, injili na zaburi hii biblia sijui nani kaileta
 
Lkn zikiletwa na upande wako haraka unazifurahia sana japo za 'kupika'
Mimi habari ya hii vita isipoletwa au kuwa approved Ritz Na wenzake wala siwezi nikaimani. Akina Ritz Wana connection nzuri ya kupata hizi jabari, na hata studio zao ni za kisasa
 
Wengi wanaona isiwe tabu, hawana haja na mabikira ya kule akhera....

View attachment 2842895

Israel’s Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday called for Hamas militants to lay down their arms, saying the Palestinian Islamist group’s end was near, as the war in the Gaza Strip raged more than two months after it began.
“The war is still ongoing but it is the beginning of the end of Hamas. I say to the Hamas terrorists: It’s over. Don’t die for (Yahya) Sinwar. Surrender now,” Netanyahu said in a statement, referring to the chief of Hamas in the Gaza Strip.
Screenshot_20231215-133809_Quora.jpg
Screenshot_20231215-104901_Quora.jpg
 
Back
Top Bottom