Shetani ni mbaya sana, aliwaingia October 7 kushambulia Israel ili hamasi wamalizwe baada ya shambulio lile, hakuna nchi ambayo inaweza kuvumilia ushenzi ule, magaidi wanaweza kuchezea nchi za Ulaya na America, hizi nchi zina huruma sana, wanajali sana haki za binadamu lakini magaidi kuchezea nchi kama
1. Israel 2.Rusia 3. China 4.Turkey ni hatari kwa maisha yao, huwezi chezea hizo nchi ukasurvive, kama wanataka wakachezee France, UK, USA, Germany, Spain, Italy , Canada hapo wakikamatwa wanafungwa tu vifungo vya maisha na huku wanakula na kulala vizuri kwenye magereza ya nchi hizo