mmh utakua kweli bana make hilo le tamkoz leo kalitoa mara ya pili
Wapi fionaaaa, nfyuuuu si alienda kumtoa kizazi fiona asizae, itakuwa na yeye ndo michezo yake ndo maana hazai, mi nikashangaa yani unapeleka mbwa hospital kisa uwatoe mimba na kufunga kizazi? Si angeazima yeye kizazi cha vanilla atotoe jaman kuliko kumfunga
Mmh!! Ila kuingia humu uumwi? Mmh dhambi izo mwenzio mekuja kuzipunguza
kweli eeeeh?
Kwani hukuona kwenye diary yake? Muulize geniveros
yap mara ya kwanza si ndo ile akasema watoto ake ni swiss na vanny
hhaaaaahaaassssteh nakutumia sadaka mpesa unitolee...make jf upo church upo mxyuuuuu
nshakumbuka ndo akasemaga tumuache atubu dhambi zake za kulea mbwa km watu kwanza
hhaaaaahaaassss
Hapo ndipo napowashangaa binadam, kufurahia kuzaa nje ya ndoa, hata vitabu vya dini haviruhusu lkn kutwaa kuchekeleaa na kuona fahari, kua na mtoto wa haram
Hii teknolojiaa nakuambia itatutoaa kamasii wallahi tena,
MUNGU NDO MWENYE KUHUKUMU
heri yake kuliko wanaolea mbwaa
Alienda kumtoa kizazi kabisa eti anazaa sana
Nipo kanisani nimekuja kumuombea mama ubaya apate mtoto
Hadi hapo tu hujaona kuwa umehukumu? Hivi utajisikiaje ukiambiwa mwanamke mwenzio amezaa na mumeo wa ndoa halafu anawaambia watu kuwa "kuzaa ndio habari ya mjini"? Kwani tatizo ni kuzaa au mtu unayepaswa kuzaa naye? Au na wewe ulizaa nje ya ndoa na mume wa mtu?
ila wema atleast siku moja angetoa le tamkoz kwa timu yake make ndo wanaomponza yani leo insta wema ndo habare