Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Wapi fionaaaa, nfyuuuu si alienda kumtoa kizazi fiona asizae, itakuwa na yeye ndo michezo yake ndo maana hazai, mi nikashangaa yani unapeleka mbwa hospital kisa uwatoe mimba na kufunga kizazi? Si angeazima yeye kizazi cha vanilla atotoe jaman kuliko kumfunga

serious????au jungu warumi
 
Dinazarde uko wapi? Au umetangulia mbele ya haki, nianze mie kutembeza bakuli la rambi rambi majukwaa yote
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo napowashangaa binadam, kufurahia kuzaa nje ya ndoa, hata vitabu vya dini haviruhusu lkn kutwaa kuchekeleaa na kuona fahari, kua na mtoto wa haram
Hii teknolojiaa nakuambia itatutoaa kamasii wallahi tena,

Halafu kuna mataahila hapa wanaosema mungu akubariki! Yaani mungu abariki watu wanaozaa na wanaume wa watu!!!!!!
 
MUNGU NDO MWENYE KUHUKUMU
heri yake kuliko wanaolea mbwaa

Hadi hapo tu hujaona kuwa umehukumu? Hivi utajisikiaje ukiambiwa mwanamke mwenzio amezaa na mumeo wa ndoa halafu anawaambia watu kuwa "kuzaa ndio habari ya mjini"? Kwani tatizo ni kuzaa au mtu unayepaswa kuzaa naye? Au na wewe ulizaa nje ya ndoa na mume wa mtu?
 
aaa wapi sikuzaa na mme wa mtu na sijawahi kudate na mme wa mtu
na ht wala sisapoti kuzaa na mme wa mtu
 
Back
Top Bottom