They (Whites and Arabs) colonized us, walipoondoka they left behind their religions so that we can be colonized by religion!!Sisemi tusiamini dini Nope, Mi natamani watuambie tu uyu mtoto haramu anakuwaje kuwaje, je ni tofauti na hao wengine? wala sitaki kujua conditions zinazomfanya uyo mtoto aitwe haramu
Mbele ya rupia hakuna kinachoshindikana.aaah wapi.
nna mji wangu mieee
niko full ka ikulu
Mbele ya rupia hakuna kinachoshindikana.
Muite tu nimpe za uso.
wakati akikupa zako unakimbia jukwaa wiki nzima jishaue tu ngoja nikakusemee pm aje hapa
NAOMBAGA MUNGU
aniondoleege vishawishi niwe na moyo wa kuridhika
They (Whites and Arabs) colonized us, walipoondoka they left behind their religions so that we can be colonized by religion!!Sisemi tusiamini dini Nope, Mi natamani watuambie tu uyu mtoto haramu anakuwaje kuwaje, je ni tofauti na hao wengine? wala sitaki kujua conditions zinazomfanya uyo mtoto aitwe haramu
Nasikia anakua mlemavu wa akili eti.
Nasikia anakua mlemavu wa akili eti.
Hiv nyie mnaopiga kelele humu mama zenu waliwazaa kwenye ndoa? Au ndo ule usem nyani haon kundule? Barack obama n mtt wa typ hyo leo hii anaongoza dunia nzima, hua uharam wenu n kwenu huko na dini zenu njaaa hizo, hongera kwa wapachikaji mimba wote mjin na wapachikwaji wote.ova
Kwa jibu ilo basi nahisi Tanzania ama Africa kwa ujumlaa pangejaa watoto walemavu wa akili , Alafu na Mimi ningekua mmoja wa hao walemavu, cha ajabu binafsi nilizaliwa nje ya ndoa but in my family ndio naonekana the blessed one kila angle zaidi ya wenzangu waliozaliwa ndoani, labda tupate jibu lingine!!!
Tatizo rupia haichoshi, yaani ukiipata kidogo utataka zaidi ya hiyo kidogo.
They (Whites and Arabs) colonized us, walipoondoka they left behind their religions so that we can be colonized by religion!!Sisemi tusiamini dini Nope, Mi natamani watuambie tu uyu mtoto haramu anakuwaje kuwaje, je ni tofauti na hao wengine? wala sitaki kujua conditions zinazomfanya uyo mtoto aitwe haramu
Kwa jibu ilo basi nahisi Tanzania ama Africa kwa ujumla pangejaa watoto walemavu wa akili , Alafu na Mimi ningekua mmoja wa hao walemavu, ila cha ajabu binafsi nilizaliwa nje ya ndoa but in my family ndio naonekana the blessed one kila angle zaidi ya wenzangu waliozaliwa ndoani, labda tupate jibu lingine!!!
Hukuzaliwa kwenye ndoa?? Una hakika babaako hakumuingilia kwa nguvu mamaako ( kubaka)?? Unaelewa maana ya ndoa wewe?