Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

They (Whites and Arabs) colonized us, walipoondoka they left behind their religions so that we can be colonized by religion!!Sisemi tusiamini dini Nope, Mi natamani watuambie tu uyu mtoto haramu anakuwaje kuwaje, je ni tofauti na hao wengine? wala sitaki kujua conditions zinazomfanya uyo mtoto aitwe haramu

wakijibu nishtue mkuu
 
Hiv nyie mnaopiga kelele humu mama zenu waliwazaa kwenye ndoa? Au ndo ule usem nyani haon kundule? Barack obama n mtt wa typ hyo leo hii anaongoza dunia nzima, hua uharam wenu n kwenu huko na dini zenu njaaa hizo, hongera kwa wapachikaji mimba wote mjin na wapachikwaji wote.ova
 
Nasikia anakua mlemavu wa akili eti.
 
Nasikia anakua mlemavu wa akili eti.

Kwa jibu ilo basi nahisi Tanzania ama Africa kwa ujumlaa pangejaa watoto walemavu wa akili , Alafu na Mimi ningekua mmoja wa hao walemavu, cha ajabu binafsi nilizaliwa nje ya ndoa but in my family ndio naonekana the blessed one kila angle zaidi ya wenzangu waliozaliwa ndoani, labda tupate jibu lingine!!!
 
Nasikia anakua mlemavu wa akili eti.

Kwa jibu ilo basi nahisi Tanzania ama Africa kwa ujumla pangejaa watoto walemavu wa akili , Alafu na Mimi ningekua mmoja wa hao walemavu, ila cha ajabu binafsi nilizaliwa nje ya ndoa but in my family ndio naonekana the blessed one kila angle zaidi ya wenzangu waliozaliwa ndoani, labda tupate jibu lingine!!!
 
Hiv nyie mnaopiga kelele humu mama zenu waliwazaa kwenye ndoa? Au ndo ule usem nyani haon kundule? Barack obama n mtt wa typ hyo leo hii anaongoza dunia nzima, hua uharam wenu n kwenu huko na dini zenu njaaa hizo, hongera kwa wapachikaji mimba wote mjin na wapachikwaji wote.ova

hahahaha shikamoo Mkuu...wapachikwaji cheers..
 
Kwa jibu ilo basi nahisi Tanzania ama Africa kwa ujumlaa pangejaa watoto walemavu wa akili , Alafu na Mimi ningekua mmoja wa hao walemavu, cha ajabu binafsi nilizaliwa nje ya ndoa but in my family ndio naonekana the blessed one kila angle zaidi ya wenzangu waliozaliwa ndoani, labda tupate jibu lingine!!!

dah humu kuna watu wanaongea km wanahara
ndo tunaowapinga hao
wanajiona km vile wao malaika vile yani wanatoa kufuru kisa kakuta baba ake na mama ake wako pamoja
na ukute wamebariki ndoa last yr sa sijui wao wao halali au haramu
au kwa kua wengine wazazi wao hawakuolewaa ndo muite haramu
yani we achana nao hao tushawazoea
 
They (Whites and Arabs) colonized us, walipoondoka they left behind their religions so that we can be colonized by religion!!Sisemi tusiamini dini Nope, Mi natamani watuambie tu uyu mtoto haramu anakuwaje kuwaje, je ni tofauti na hao wengine? wala sitaki kujua conditions zinazomfanya uyo mtoto aitwe haramu

Mwisho utataka tukuonyeshe alipo mungu na kwanini haonekani!!..huna hoja nenda kalale!
 
Kwa jibu ilo basi nahisi Tanzania ama Africa kwa ujumla pangejaa watoto walemavu wa akili , Alafu na Mimi ningekua mmoja wa hao walemavu, ila cha ajabu binafsi nilizaliwa nje ya ndoa but in my family ndio naonekana the blessed one kila angle zaidi ya wenzangu waliozaliwa ndoani, labda tupate jibu lingine!!!

Hukuzaliwa kwenye ndoa?? Una hakika babaako hakumuingilia kwa nguvu mamaako ( kubaka)?? Unaelewa maana ya ndoa wewe?
 
Kuzaa ni majaaliwa jamani.mfano mie nimezaa mtoto mmoja uzazi ukagoma miaka tisa ndio nikapata mimba ingine je nisingekua na yule mtoto wa kwanza ingekuaje?please tisipende kuumiza hisia za wengine.kwa kukejeli wasiozaa.kila mtu ana sababu kwann hajazaa.kufuga mbwa ni njia ya kujipotezea mawazo tu.huenda akazaa au akaadopt huko mbele ya safari.tuwe na hofu ya Mungu.sijapenda kabisa
 
Hukuzaliwa kwenye ndoa?? Una hakika babaako hakumuingilia kwa nguvu mamaako ( kubaka)?? Unaelewa maana ya ndoa wewe?

Wazazi waheshimiwe bwana.Utamuulizaje swali kama hilo eti una uhakika kama babake hakumwingilia mamake?? Plz ustaarabu kitu cha bure kabisa.
 
Back
Top Bottom