Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
My kumbe uko vizuri my Angel Nylon
Sawa!! Kati ya hizo mbili wewe umefanya ipi?
Ninyi si mnakaririshwa kutoka kwenye katekisimu ya kanisa! Hata magazeti ya shigongo huwa yanaripotigi kuwa "..fulani afumwa akivunja amri ya sita" akimaanisha uzinzi wakati sio kweli.
Soma kutoka 20:1----.
Sema my hubby
siko tayari kulijibu hili......
Mkuki kwa nguruwe.
Kuna mada moja wengi walisai wanaume hawataki oa wanawake wazuri. Wasanii wengi wazuri ambao according to hiyo mada siyo wife material/ wamekuwa lbled already. Huenda ndio sababu wanaona waume wakose basi na watoto wakose?Hapo ndipo napowashangaa binadam, kufurahia kuzaa nje ya ndoa, hata vitabu vya dini haviruhusu lkn kutwaa kuchekeleaa na kuona fahari, kua na mtoto wa haram
Hii teknolojiaa nakuambia itatutoaa kamasii wallahi tena,
Natumai Jumanne yako ni njema my