Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Hapo ndipo napowashangaa binadam, kufurahia kuzaa nje ya ndoa, hata vitabu vya dini haviruhusu lkn kutwaa kuchekeleaa na kuona fahari, kua na mtoto wa haram
Hii teknolojiaa nakuambia itatutoaa kamasii wallahi tena,
Kuna mada moja wengi walisai wanaume hawataki oa wanawake wazuri. Wasanii wengi wazuri ambao according to hiyo mada siyo wife material/ wamekuwa lbled already. Huenda ndio sababu wanaona waume wakose basi na watoto wakose?
 
Back
Top Bottom