Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MUNGU NDO MWENYE KUHUKUMU
heri yake kuliko wanaolea mbwaa
MUNGU NDO MWENYE KUHUKUMU
heri yake kuliko wanaolea mbwaa
Naadhani swala lilokoo hapa nikutokujitambua, kuto wasikiliza wazazi wake, nakujifanyaa wamekua hivyo hakuna wakuwawlezaa kitu, sawa hatukataii ila akumbuke mwanamke kuzaa kabla ya ndoa ni Mtoto haramu, halafu pia nikufunga baadhi ya riziki kwa mikono yake, kaanza na huyo keshoo atakuja na mwingine Kama yule Wa RADIO YA WATUUUUU
Mimi sio mwanamke lakini nikiangalia tumbo la zari tu najua kabisa sio mimba.
Mastaa wanamnanga uko insta, wanatunisha matumbo yao na wenyewe wanasema wameshiba ugali na maji kwa wingi, hahahah hahahahh
haya lea mbwa maana utawatuma,watakusaidia ukizeeka na watakuzikaBinamu nini? Mi nawapenda mbwa wangu, nimewanunulia nguo za gharama nawalisha kama binadamu na kulala nao
Naona una bifu na wema si bure.
Huelewii hata unachokizungumzaa,
wema..?!!ndo nani?!!
MUNGU NDO MWENYE KUHUKUMU
heri yake kuliko wanaolea mbwaa
Unaona sasa si dharau hizi jamani yaani humjui kabisaa akisikia atajinyonga wallah.
Mtuawache tupumueeeee!!!!
Mi nnalea mende, ndo maisha niliyochagua....inahuuuuu kwani???
We mwenye watoto komaa na wanao!
si dharau mkuu
ila simjui ni nani hapa mjini!
Aliyenyang'anywa penzi na zari sema tena zari humjui.
zari namjua the bosslady herself
beutiful wani...
mamaaa kimimba.....
mtoto showwwwwwww....
wwa ukweeee.....
mutoto muzuriii....
toto la kigandaa....
ndo habari ya mjini....!!!
nyang'au wengine tupa kule kwenye dustibinnnnn.....!!
Nini shida na wema baba kayayii:what::banghead:
Yani liko vzuri sio la bibie limetepweta ka mlenda sijawahi ona mwenye mimba akawa na tumbo design Ile aisee