Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

hahaahaaa
mwanamke mimba babuu
mbwa wakafuge iringaa huko



tabu gani sasa mimba yake,mtoto wake inahuuuuu ..?!!

Binamu nini? Mi nawapenda mbwa wangu, nimewanunulia nguo za gharama nawalisha kama binadamu na kulala nao
 
Naadhani swala lilokoo hapa nikutokujitambua, kuto wasikiliza wazazi wake, nakujifanyaa wamekua hivyo hakuna wakuwawlezaa kitu, sawa hatukataii ila akumbuke mwanamke kuzaa kabla ya ndoa ni Mtoto haramu, halafu pia nikufunga baadhi ya riziki kwa mikono yake, kaanza na huyo keshoo atakuja na mwingine Kama yule Wa RADIO YA WATUUUUU

Ila kuna kuakweli vile!
 
Mimi sio mwanamke lakini nikiangalia tumbo la zari tu najua kabisa sio mimba.

Mastaa wanamnanga uko insta, wanatunisha matumbo yao na wenyewe wanasema wameshiba ugali na maji kwa wingi, hahahah hahahahh

si kweli ile ni mimba sema wenzetu wenye hela ule mstari wa katikati mweusi wanafuta kwa vipodozi
wabongo tuacheni majungu
 
zari namjua the bosslady herself
beutiful wani...
mamaaa kimimba.....
mtoto showwwwwwww....
wwa ukweeee.....
mutoto muzuriii....
toto la kigandaa....
ndo habari ya mjini....!!!
nyang'au wengine tupa kule kwenye dustibinnnnn.....!!

Nini shida na wema baba kayayii:what::banghead:
 
Nilisemaga kuhusu hili, ila akina nifah na geniveros wakanichamba eti kuzaa nje ya ndoa ndio habar ya mujini, wakati wanazaa watoto haramu, wanawapa shida tu viumbe visivyokuwa na hatia

Khaaa! Jamani warumi umeniuzia kesi hivihivi? Umesahau ile siku nilikua pamoja na wewe kupinga huu ushenzi wa kuzaa kabla ya ndoa? geniveros na wenzie akina Evelyn Salt ndio waliokua wanatetea.
Mimi namuogopa Mungu sana, siwezi na wala sitokaa nizae nje ya ndoa na Mungu aniepushie....
 
Last edited by a moderator:
Yani liko vzuri sio la bibie limetepweta ka mlenda sijawahi ona mwenye mimba akawa na tumbo design Ile aisee

Jamani tumbo la Zari kutepeta mnaona ajabu gani? Hata kama kajitahidi kujitunza ila tujue kua naye ni mwanamke wa kawaida kama wengine.
Hili tumbo ni la nne sasa mnategemea nini? Asikuambie mtu kuzaa ni kuzaa tu hata kama kajitunza lakini sio kote lazima kuna sehemu ukweli utabaki kua katotoa tena wengi!
 
Back
Top Bottom