Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Wazazi waheshimiwe bwana.Utamuulizaje swali kama hilo eti una uhakika kama babake hakumwingilia mamake?? Plz ustaarabu kitu cha bure kabisa.

Ukiona ivyo ujue tu kua swali la msingi limekosa jibu.
 
Hata kama haipo lakini ni dhambi....kwani kutoa mimba ipo katika amri kumi?lakini mbona ni dhambi?

Ukisoma biblia yako vizuri....yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa amri kuu nayowaachia ni upendo.

Ukiwa na upendo hutozini,huto tamani mali ya mwenzio,huwezi iba,sengenya na vitu vifananavyo na hvyo.

kutoa mimba ni dhambi mana umeua....na umeambiwa usiue.....na usiue ni amri ya 5 ya Mungu....
 
Kama kwenye amri 10 hakuna basi inabadilika na kuwa sio dhambi??
Tuache kujipa moyo.

sijasema kuwa si dhambi.....ila nimuliza kama ipo kwenye amri 10 za Mungu.....

katika vitu ambavyo Mungu alisema ukivifanya hautauridhi ufalme wake ni pamoja na uasherati.....kwahiyo haijawekwa kwenye amri 10 lakini haimaniishi kuwa si dhambi.....
 
Labda kwetu binaadamu lakini kwa Mungu asiyedanganyika ameshagundua siku nyingi kuwa asilimia tisini na tisa ya ndoa ni haramu...maigizo matupu na wala hakuna tofauti na kuzaa bila ya ndoa.

Kweli tupu umeongea binadamu wa raisi kweli kuwanyooshea wenzao vidole.
 
sijasema kuwa si dhambi.....ila nimuliza kama ipo kwenye amri 10 za Mungu.....

katika vitu ambavyo Mungu alisema ukivifanya hautauridhi ufalme wake ni pamoja na uasherati.....kwahiyo haijawekwa kwenye amri 10 lakini haimaniishi kuwa si dhambi.....

Na ndo maana ulipokuwa unamuuliza Angel it was like si dhambi kwakuwa haipo katika amri kumi.

All in all mshahara wa dhambi ni mauti.
Ukisoma biblia yako inasema enyi mabinti yerusalemu msichochee mapenzi vitandani mwenu.

Kuchochea mapenzi hupelekea kufanya huo uasherati.Dhambi mbaya asikwambie mtu.
 
kutoa mimba ni dhambi mana umeua....na umeambiwa usiue.....na usiue ni amri ya 5 ya Mungu....

Uasherati ni dhambi vile vile.Mungu ana kanuni zake,nmesoma hiyo habari ya Wema lakini mwisho wa siku nikamuonea huruma na kujionea huruma pia.

Maana kweli ya Mungu haimo ndani yake.Huwezi kumwomba Mungu kwa style ile akakujibu never.
 
my dear mie sijakataa kama si dhambi.......
 
Na ndo maana ulipokuwa unamuuliza Angel it was like si dhambi kwakuwa haipo katika amri kumi.

All in all mshahara wa dhambi ni mauti.
Ukisoma biblia yako inasema enyi mabinti yerusalemu msichochee mapenzi vitandani mwenu.

Kuchochea mapenzi hupelekea kufanya huo uasherati.Dhambi mbaya asikwambie mtu.

kama utakuwa ulifwatilia mwanzo utaona ishu ya kumuuliza kama ipo kwenye amri 10 za Mungu.......

ni kweli dhambi ni mbaya na inatuweka mbali na ufalme wa Mungu....ila binadam ni wadhaifu ndiyo maana kuna toba.....pale unapojua umekosea yakupasa kutubu na kuacha dhambi....
 
inawezekana haujui....

anyway....uzinzi ni kitendo cha wanandoa kwenda kufanya tendo la ndoa nje ya nchi yao....mfano...mme kwenda kufanya tendo la ndoa na mwanamke mwingine ambaye si mkewe....na mke hivyo hvyo.....

halafu kuna kitu kinaitwa uasherati.....ni kitendo cha watu ambao hawajafunga ndoa kufanya tendo la ndoa.....uasherati unafanywa na watu ambao wote hawajafunga ndoa......

hizo ndiyo tofauti ya uzinzi na uasherati.....

sasa kama mtu amezaa na mme wa mtu ama mke wa mtu hao wamefanya uzinzi.....lakini ikatokea kwamba mtu amezaa bila ndoa na aliyezaa nae hajafunga ndoa basi hao wamefanya uasherati.....sasa kwa kesi kama hii utasema hawa watu wamefanya uzinzi ama uasherati....? na je kwenye amri 10 za Mungu uasherati ipo?

Samahani sister kwa hapa nafkiri tutatafautiana kwa sababu ya tofauti ya dini zetu. Kwetu sisi uzinzi au kuzini ni kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa au mkiwemo kwenye ndoa na mmoja wenu akachepuka.

Uasharati nnavofaham mimi ni kungonoka leo na huyu, kesho na yule, keshokutwa na mwengine Yaani umalaya
 
Last edited by a moderator:

haya mamy..uwe na mchana mwema....
 
Samahani sister kwa hapa nafkiri tutatafautiana kwa sababu ya tofauti ya dini zetu. Kwetu sisi uzinzi au kuzini ni kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa au mkiwemo kwenye ndoa na mmoja wenu akachepuka.

Uasharati nnavofaham mimi ni kungonoka leo na huyu, kesho na yule, keshokutwa na mwengine Yaani umalaya

My kumbe uko vizuri my Angel Nylon
 
Last edited by a moderator:
inawezekana haujui....

anyway....uzinzi ni kitendo cha wanandoa kwenda kufanya tendo la ndoa nje ya nchi yao....mfano...mme kwenda kufanya tendo la ndoa na mwanamke mwingine ambaye si mkewe....na mke hivyo hvyo.....

halafu kuna kitu kinaitwa uasherati.....ni kitendo cha watu ambao hawajafunga ndoa kufanya tendo la ndoa.....uasherati unafanywa na watu ambao wote hawajafunga ndoa......

hizo ndiyo tofauti ya uzinzi na uasherati.....

sasa kama mtu amezaa na mme wa mtu ama mke wa mtu hao wamefanya uzinzi.....lakini ikatokea kwamba mtu amezaa bila ndoa na aliyezaa nae hajafunga ndoa basi hao wamefanya uasherati.....sasa kwa kesi kama hii utasema hawa watu wamefanya uzinzi ama uasherati....? na je kwenye amri 10 za Mungu uasherati ipo?

Wewe upo kwenye kundi lipi kati ya hayo?
 
sijasema kuwa si dhambi.....ila nimuliza kama ipo kwenye amri 10 za Mungu.....

katika vitu ambavyo Mungu alisema ukivifanya hautauridhi ufalme wake ni pamoja na uasherati.....kwahiyo haijawekwa kwenye amri 10 lakini haimaniishi kuwa si dhambi.....

Sawa, sasa tuambie wewe ni muasherati au mzinzi?
 
Back
Top Bottom