Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hataki shida na mtu...Sijacheka lo basi tu amekaa ki comedian comedian!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hataki shida na mtu...Sijacheka lo basi tu amekaa ki comedian comedian!
Hahaha kwamba na yeye ana demuDah! Wanawake wanahuruma sana
Yaniii Nimecheka sana! Halafu uzi kauweka Habari na hoja mchanganyiko mwenyewe hana mudaaa 🤠Hataki shida na mtu...
Angalia tu usijambe kile kijambo chako halahala usije ukachafua hali ya hewa ya huu Uzi
Bindamu kama huyu, huaga hanaga stress...Yaniii Nimecheka sana! Halafu uzi kauweka Habari na hoja mchanganyiko mwenyewe hana mudaaa 🤠
Kabisa namie nimeonaBindamu kama huyu, huaga hanaga stress...
Kama balangulu🤣
Usimcheke sasa...Kabisa namie nimeona
Usimcheke sasa...
Simcheki sema mwenyewe ndio kaamua kutuchekesha leo . Bila shaka hayuko siriaz hahaha I
Usimcheke sasa...
Usimcheke sasa...
Simcheki sema mwenyewe ndio kaamua kutuchekesha leo . Bila shaka hayuko siriaz hahaha I
Usimcheke sasa...
HahahaIla we jamaa 😂 Hapo kabla hujaanza kulia mee meee 🤣
Anyways super handsome you know!
Hakika.
Tupia basi kapicha kengine
AiseeeePia unaweza kuitumia kwa kulindia shamba.Sidhani ndege watakula mazao wakiona hii picha.
Mbona umevaa heren hapo wewe MongoHadzabe ?