Picha: Happiness Magese sasa kukojoa kwa kutumia mipira

binamu hiyo taarifa umeitoa wapi??

Binamu udakuni si unajua tena , ila mimi kaniudh sana huyu millen ,mambo mengine ni personal bhana sasa ndo nini kujitangaza hivo? Jamii iliyoelimika itamuona shujaa ila wabongo wengi hamnazo watambeza na haijakaa poa kwa kweli
 
Daaah, inasikitisha sana! Pole sana dada Happy.
 
hapo ni wakati alipofanyiwa operation bana, yuko okay sasa hivi

Kuna watu wanatafuta hits kilazima kwenye blogs zao kama picha ya zamani kwanini wameitoa muda huu? pole magese mwana wa mtibwa.
 
Hivi ameolewa? Dah sijaoa bado. Ningemuoa hivyohivyo
 
Milen anapendwa kweli, angekuwa mama ubaya apa angepokea vichambo vya haja wangemwambia ana fistula kwa ajili ya kugegedwa sana

hahaha.....!jiheshimu uheshimiwe...!
 
Daaaaa, pole sana Hapiness , naamin mwenyezi mungu ataendelea kukupigania
 
Milen anapendwa kweli, angekuwa mama ubaya apa angepokea vichambo vya haja wangemwambia ana fistula kwa ajili ya kugegedwa sana

Kwa hiyo atakua anatembeaa hivyo na huo mpira au itakuajee
 
Jamani happy, duh, pole sana mama
 
Milen anapendwa kweli, angekuwa mama ubaya apa angepokea vichambo vya haja wangemwambia ana fistula kwa ajili ya kugegedwa sana

umerudi lini rafiki?
 
This was back in 2010 binamu, embu kafanye udakuzi kidogo tena. Nimeona hata kwa nuru the light ameweka hizo pics, ni kama Millen anasimulia how the problem started, alipopitia (including hizo operations) hadi alipo now. Now she is ok

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Usije kua huu ugonjwa wa mkojo upo kibiashara zaid kama magic Johnson maana yake pesa mwanaharamu unaweza hata kujipa ugonjwa
 
pole happness yaani muda wake wa kulia kivulini ndo anapata majaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…