Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Jamani hivi hakuna waombaji wamuombee, she is possessed with demons. ampe yesu maisha yake, aone hicho kizazi na hilo kojo halijakata. Tunakufa kwa kukosa maarifa. Mungu ampe ufahamu akate shauri
This was back in 2010 binamu, embu kafanye udakuzi kidogo tena. Nimeona hata kwa nuru the light ameweka hizo pics, ni kama Millen anasimulia how the problem started, alipopitia (including hizo operation) hadi alipo now. Now she is ok
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Daah..the world is unfair,halafu unamkuta mdada mbayaaa yuko chunya huko anafyatua tu watoto
Umeona eeh
Kuombewa kwani issue
Swali yu yupo tayari?
Hiyo kuwekewa catheter Mbona ni hali ya kawaida kama ukitaka kufanyiwa operation ambayo itakulaza mda mrefu. Halafu wanakuwa wanataka wawe wanamonitor mkojo wako.
Umeongea point sana mkuu, mda mwingine mungu anatupa mitihani mizito ili tumjue yeye ni nani, magese kasema kazunguka hospitali zote duniani kutibiwa ila hakufanikiwa ila sijasikia akisema alienda kwa mchungaji flani kufanyiwa maombi,amesahau kuwa mungu hashindwi na kitu na kamwe hawezi kushindwa kama ukimtafuta kwa bidii
Ndo ajue na ajifunze kuwa pesa sio kila kitu duniani, angempa nafasi mungu katika maisha yake aone kama atashindwa, Mungu sio mganga kusema anabahatisha
thats the way life it isWakati masikini anawaza pesa, tajiri anawaza magonjwa yanayo mkabili. Hiyo yote ni mipango ya Mungu. Kama binadamu lazima kuna kitu kitakuwa kinakusumbua tu japo hata kama ni kidogo