Picha: Happiness Magese sasa kukojoa kwa kutumia mipira

Wakati masikini anawaza pesa, tajiri anawaza magonjwa yanayo mkabili. Hiyo yote ni mipango ya Mungu. Kama binadamu lazima kuna kitu kitakuwa kinakusumbua tu japo hata kama ni kidogo
Ndo hapo nawaza hilo gonjwa limpate kapuku kama mimi sijui unaishije sasa.
 
PESA SIO SHINA LA MAOVU. ..HAPANA KABISA. ..NI MTU MWENYEWE TU. .NDUGU YANGU
 
Pole sana mrembo. .Happiness Magesa
 
Kama amepona ni vizuri ila,imenishtua kidogo hii story na nilipoangalia nimegundua kuwa ilikuwa ni 2014.
 
Amen
 
ulitaka nalo hili akuambie?? wewe nani?
 
Pole Sana lakini shahadia Allah atakusamehe makosa yote
 
Hivi hizi habari mnazipataga wapi mbona mnapenda kutunga story Kwa kuunganisha inganisha picha
 
Dada wa watu Ni mzima wa Afya Na anawashangaaa hiyo picha Ni ya Mwaka uliopita alipo fanyiwa operation Ambapo Ni kawaida ukitoka Kwenye operation ya kizazi lazima uvae hiyo acheni uzushi dhambi Kwa Mungu
 
Hivi hizi habari mnazipataga wapi mbona mnapenda kutunga story Kwa kuunganisha inganisha picha
Hii si ya kutunga
usikariri mazingira ya kila cku kwamba kila kitu kipo kama ulivyozoea, ni vibaya
 
Dada wa watu Ni mzima wa Afya Na anawashangaaa hiyo picha Ni ya Mwaka uliopita alipo fanyiwa operation Ambapo Ni kawaida ukitoka Kwenye operation ya kizazi lazima uvae hiyo acheni uzushi dhambi Kwa Mungu
Usikurupuke kushambulia watu hata wewe pia umekosea kucomment kwa pupa hapa bila kuangalia kwamba huu uzi ni wa 2014
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…