PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Itafikia wakati tutaingia msituni...ole wao!! Tukirudi sasa......

Thats another case kaka, kuingia msituni, well and good...kama unaona ni jibu la matatizo na ndio busara ya utatuzi.
 
Ok kwa hiyo walikuwa na chuki na hao waandishi wa habari.....?
Swali " Aliwafanya nini mpaka wamchukue wampige na kisha kumlipua?"
Tumefikia pabaya sana...!!

Hicho ndicho ambacho kila mtu anajiuliza......inavyosemekana ni kuwa huyu mwandishi walikuwa wanamuwinda siku nyingi(mie pia sijui sababu) hivyo jana ni kama walimkamata kwenye kumi na nane zao!.......kama ulifuatilia kipindi channel ten leo asubuhi utagundua kuwa huyu mwandishi wala hajauliwa kwa bahati mbaya .......police walidhamiria kumuua na wakati wanafanya mauaji hawakujua kuwa kuna waandishi wengine walikuwa pembeni wakishuhudia.......kuna mwandishi mmoja anasema nae walimkamata wakaanza kumpiga akawa anajitetea police wakamuuliza unataka na wewe tukupeleke pale kwa mwenzio? (Daudi) .....unaona eeh !
 
hata kama amewafanyia kitu kibaya cha kuchukiza, wao ni wakinanani wajichukulie sheria mkononi ya kumpiga bomu? How do u justify killing unarmed pressman?! Hapo wamekosea kaka, kazi yao sio kuua, ni kulinda amani.

Police wetu siku hizi wameacha kulinda amani ndugu......wameamua kuua tu sasa!
 
Sikiliza ndugu....mimi sijawahi kuwa na kadi ya chama chochote kile na wala sina mpango huo......kwani ukombozi wa kweli hauko kwenye chama tena cha kisiasa ndo kabisaaaaa hakuna ukombozi wa kweli huko!!!!!

Vua miwani ya kisiasa na uwe huru kwenye fikra then angalia hiyo picha upya ndo utaelewa nini nazungumza hapa!!!!!!

Mauaji ya aina hii hayana mwisho mzuri na ni jambo la kukemewa usiku na mchana....

HESHIMA YA UTU NA MAISHA KWANZA HALAFU HIYO SIASA ITAFUATA KWA WATU KAMA WEWE MNAOAMINI JUU YAKE

sweetlady amekuja kanielewasha vizuri nimemuelewa....
Wala sihitaji mabishano.....
 
Hicho ndicho ambacho kila mtu anajiuliza......inavyosemekana ni kuwa huyu mwandishi walikuwa wanamuwinda siku nyingi(mie pia sijui sababu) hivyo jana ni kama walimkamata kwenye kumi na nane zao!.......kama ulifuatilia kipindi channel ten leo asubuhi utagundua kuwa huyu mwandishi wala hajauliwa kwa bahati mbaya .......police walidhamiria kumuua na wakati wanafanya mauaji hawakujua kuwa kuna waandishi wengine walikuwa pembeni wakishuhudia.......kuna mwandishi mmoja anasema nae walimkamata wakaanza kumpiga akawa anajitetea police wakamuuliza unataka na wewe tukupeleke pale kwa mwenzio? (Daudi) .....unaona eeh !

Mmmmh kweli...MUNGU atusaidie,
 
nisiposema hapa nitakua si mwanaharakati ee mungu wa amani HATA HILI UWALIPE WAHUSIKA WOOOTE kama ulivosema katika MHUBIRI 11 VERSE 8 KUWA FANYA UFANYAVO ILA JUA IKO SIKU UTALETWA HUKUMUNI
 
IMG_1875.JPG
577101_377757872294889_183352309_n.jpg

​
Ushoto Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda KuliaHayati Daud mwangosi

attachment.php
Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.

attachment.php

Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio

Maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.

attachment.php

Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.

Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.
​
EEEEEEEEEEEEEEEEH mwenyezi MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI mwingi wa rehema uwalaani askari hawa na viongozi wao na ukoo wao na wale askari wote na ukoo wao wanaofanya kazi kwa kushinikiza kuangamiza nguvu ya umma kwa kutumia nguvu za ziada na uwape moyo wa imani familia ya Marehemu Mwangosi
 
Uchunguzi wa nini?

Sisi wananchi tushamaliza, tunayo majibu na ripoti 100%. Huo uchunguzi labda ni kwa ajili ya akina Zomba, Ecoli, Nape na wasio-binadamu wenzao.
 
hata kama amewafanyia kitu kibaya cha kuchukiza, wao ni wakinanani wajichukulie sheria mkononi ya kumpiga bomu? How do u justify killing unarmed pressman?! Hapo wamekosea kaka, kazi yao sio kuua, ni kulinda amani.

Nimeshindwa kuwaelewa hawa jamaa kwa kweli....
 
Yani hata hawa Askari wenyewe hawaamini walichokifanya. Haya mambo ya kutii amri hata kama haina tija itawapeleka pabaya. Nitashangaa sana kama hawa wote hawatashitakiwa kwa uhalifu wa wazi namna hii.
 
Mmmmh kweli...MUNGU atusaidie,

Atusaidie sana manake tulipofika na tunapozidi kuelekea sio mahali pazuri.......mtu akionekana mtetezi wa wanyonge lazima awindwe na kupelekwa mabwe pande......au kuuliwa kabisa kama huyu ndugu yetu Mwangosi (R.I.P)
 
Nimeshindwa kuwaelewa hawa jamaa kwa kweli....

Ungemsikiliza Chagonja asubuhi ndio usingewaelewa kabisa......yaani amejaribu kuongea uongo kama vile hakuna Mungu......ila cha kufurahisha ni kwamba waandishi waliokuwepo eneo la tukio ni mashahidi kwa kilichotokea!

Yaani walaaniwe popote walipo wao na familia zao!
 
Heri Sikumsikiliza kabisa.......
 
Hivi kuna nini Tanzania? Nasubiri statement ya CDM Nipate picha kubwa kuhusu "ushindi" huu. Instigation ya namna utaendelea mpaka lini
 
Hili tukio linasikitisha sana na sio la kawaida ndani ya jamii yetu............ ila ili kuweza kufikia mabadiliko ya kweli dhidi ya hii dola ya kipolisi. Hatuna budi kushikamana kama Taifa katika kukemea mauaji haya yanayofanywa na polisi kila kukicha. Huo ndo mwanzo wa kuanguka kwa hii dola ya kiimla............... Mungu amlaze mahali pema peponi ila aiache roho yake ya kimapinduzi ikifanya kazi yake katika ukombozi wa Taifa hili.
 
Hii habari imenisiktisha sana,R.I.P Mwandishi,Policcm mjue kabisa haya yana mwisho
 
Back
Top Bottom