PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Hapo kwenye red,
Bado tu hupati picha ??
Mikutano iliyozuiliwa ni ya Chadema tu !! Upo hapo ?? au na wewe umenukuu habari hii kwa makosa ??
Jamaa karibu anastaafu, hawezi kuruhusu maandamano kinyume cha "maagizo" yaliyopo !! Maagizo gani ?? Au sensa inawagusa Chadema peke yao ??
Upo hapo ???

Asante kwa kunielewa...
 
attachment.php


Ni kitu kikubwa kilirushwa ??????​

kwa unyama huuuuuuu

Hivi hapa kuna haja ya kuunda tume, tena tume yenyewe inaundwa na hao hao wauaji? Mimi nasema tume hapana, muuaji anaoneka wazi akitekeleza unyama wake na huku bosi wake (RPC) akisimamia kwa umakini zoezi la kutoa roho ya marehemu Mwangosi. Lakini CCM na serikali yenu dhalimu na ya mababavu mjue haya yana mwisho, na damu ya Mwangosi haitapoptea bure, ukombozi lazima upatikane na mkoloni mweusi CCM lazima atokomezwe.
 
Hivi kwa polisi wetu who gives the shoot and kill order coz ninavyojua killing is a criminal no matter who did it. Mfano mombasa kenya police hadi waliuawa but they never shot anyone except arresting trouble makers. So tz police style up and be profesional si coz ulipata division zero unajua kazi ya bunduki ni kuua tu.
 
mkuu sikuwa na nia ya kupotosha ki ukweli sikumwona kwa kuwa alikuwa amevaa magwanda na nyuma yake kulikuwa na jamaa kavaa jeans nikafikiri ndo yeye.mungu ailaze roho yake peponi

Umaarufu unaoutafuta umeupata. Hukuwa unajulikana JF sasa unafahamika.
 
Inasikitisha, inaumiza, laikini ndiyo hali halisi, hakuna mjadala pamoja na kujitetea kote lakini ukweli uko wazi; Polisi ndiyo wauaji, Hatudanganyiki!
 
Kwa ukweli inasikitisha na inaumiza sana.

Sielewi hawa askari ni kwanini anatumia nguvu za kupita kiasi kwa raia wanotakiwa kuwalinda tena wasio na silaha. Mwisho wa siku itaundwa tume nao wakiwemo then ni jibu gani utapata...? Mtu anapojihoji mwenyewe..?

Hizo picha ni ushahidi tosha. Waliotenda ukatili wanaonekana. Ni suala la kuchukua hatua.

Haya matukio yamekuwa yakiongezeka kila kukicha na hakuna hatua thabiti inayochukuliwa kuyadhibiti. Wanashindwa nini kutumia rubber bullet kwenye hayo maandamano? Ama wanasifiwa baada ya kuua..? Na hao wakubwa zao...?

Inaniuma sana tena sana hasa kwa hao wanaona wanaweza kuutoa uhai wa binadamu mwenzao namna hiyo.. Na wakaachwa tu. Wakamatwe wote walionekana kwenye hizo picha kwa mahojiano. Ili ajulikane mtendaji mkuu wa huo unyama..
 
Hii imenitia hasira kwa kweli na kunihuzunisha sana.
Natangaza kuhamia Chadema. Kadi napataje?

Alie serious na jinsi ya kuvaa gwanda ani PM.

Eleza uko wapi tukueleze mahali ofisi zetu zilipo au wasiliana na kamanda AWEDA 0784-583330!..
 
Ni haki ya raia kupata habari, huyu hakuwa na silaha, alikuwa na kitendea kazi chake. Amekufa akiwa anapigania haki ya mwandishi mwezake ambaye naye ameumizwa (Mwandishi wa Nipashe).

Wanaodhania ni siasa wanachanganya. Wanamaanisha mikutano au mikusanyiko yoyote ya wanasiasa tusifike kuwahabarisha wananchi?

yes offcourse,mikutano yote ya CDM isiwe covered ili wananchi wasijue kinachoendelea.,ila ya chama kile,.iwe front page
 
Kuna uwezekano mkubwa sana hawa FFU wanakuwa wanavuta bangi na zinawapeleka puta kiasi cha kuchukua maamuzi yasiyoweza kukubalika kwa mtu yeyote mwenye akili timamu.Kwa kitendo hiki ninasema hivi,hakuna haja ya kuunda kamati/tume ni hukumu itolewa direct.Na kitanzi hadi kufa ndiyo haki ya huyo askari aliye fyatua risasi.
 
Mbio za mwenge zinaendelea Muleba, kwa MUJIBU wa TBC habari saa 7:00 mchana. Zitaendelea Bukoba vijijini baada ya kutoka Muleba. JE, SENSA IMEISHA KAGERA?. TAFAKARI!.
 
Za Dr Ulimboka hatukuziona ila hizi hakuna njia ya kuzificha you OLD FOOLS sisiemu pamoja na Police wake...!
 
Polisi wameusika kabisa na mauuaji ya kinyama ya ndg daudi mwangosi
 
IGP umepandikiza roho ya uuaji ndani ya jeshi la polisi, ipo siku hao hao unaowaona Leo kwamba wamefanya kazi Nzuri watatumia hiyo laana kuwauwa wanaokuhusu, usilifumbie macho hili,damu iendayo ardhini bila hatia siku zote itamfuata anayehusika na waliomuamuru kutenda Hilo.
 
Hawa polisi wanatumiwa kama condom then wanatelekezwa, maisha yao duni km nini! mwisho wa haya yote unakaribia
 
Hivi hapa kuna haja ya kuunda tume, tena tume yenyewe inaundwa na hao hao wauaji? Mimi nasema tume hapana, muuaji anaoneka wazi akitekeleza unyama wake na huku bosi wake (RPC) akisimamia kwa umakini zoezi la kutoa roho ya marehemu Mwangosi. Lakini CCM na serikali yenu dhalimu na ya mababavu mjue haya yana mwisho, na damu ya Mwangosi haitapoptea bure, ukombozi lazima upatikane na mkoloni mweusi CCM lazima atokomezwe.

2gether with poriceccm
 
Back
Top Bottom