Mungu wangu!!!! RPC AMESHIRIKI KUMWUUA MWANDISHI! ANGALIA UNYAMA HUU! NIMPIGE NANI! JK UKO WAPI? UNATAKA TUUAWE WOTE! OLE WAKO! OLE WAKO KAMA UNYAMA HUU UTAUKOMESHA, HAGUE SIO MBALI! MUNGU AWALAANI!
nyi tuendelee kukaa nyuma ya keyboard na kuangalia watatumaliza hawa mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaa hawana imani hata kidogo!wana jf,
naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa.
Nina picha ambazo zimechukuliwa zinazoonyesha walioshiriki na jinsi walivyoshiriki. Hata rpc alikuwepo eneo la tukio.
mods, naomba msiunganishe thread yangu plz.
picha nyingine nimezituma kwa watetezi wa haki za binadamu na video nimeziweka youtube (sitatoa link kwa sasa).
Wanahabari, ni wakati wa kuonyesha umoja wetu dhidi ya udhalimu huu.
-----
![]()
huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa iringa wanamfahamu askari huyu.
![]()
pembeni ni shangingi la rpc, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio
maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.
![]()
kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.
Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.
nafikiri humu tuko na kuelimishana pia...kwenye red,too harsh....thanks for education anyways..punguza hasira dadaHujui chochote wewe, kuna investigative lawyers kazi yao kufanya uchunguzi na kutafuta ushahidi. CHADEMA PELEKENI WANASHERIA WENU WAKACHUNGUZE!
Hivi Mpaka sasa hivi huyo RPC bado tupo kazini? Tujulishen,
Hivi Mpaka sasa hivi huyo RPC bado tupo kazini? Tujulishen,
Nafikiri hiyo ilikuwa bahati mbaya, kwasababu ninavyoone imetokea, hiyo bunduki kwanza si ya risasi, ni ya mabomu ya machozi kwa wale wanaofahamu bunduki watakubaliana na mimi...
Hilo bomu la machozi wakati mwingine huwa linalipuka vibaya, na nionavyo mwili wa marehemu hapo umesambaratishwa kama na utumbo unaonekana na kuna askari mmoja kwenye hizo picha amedondoka chini kama askari wenzie wanamsaidia vile...
Hebu angalia vizuri..inaonyesha ni kama hapo ilo bomu limefyatuka kwa bahati mbaya likajeruhi marehemu na askari....ni maoni tu lakini....na hawa polisi wetu ambao wametoka depo juzi tu hawa hawajui hata madhara ya hizi vitu.
tena ya kutoka mpwapwaAsante noob kwa taarifa iliyowazi!....
...Polisi wamesema Mwangosi alikimbilia waliko polisi kuomba msaada na kumkumbatia polisi ndipo kitu ambacho hakijulikani kilikotoka kikamlipua! ......Hizi bangi!..
Humuoni Kamanda wa Mkoa alivyo. Ni kama mvuta ba--i, aahh, samahani, mtumiaji wa sigara kubwa.Huko Iringa kuna Serikali kweli jamani? Polisi wanauwa watu namna hivyo?.@Candid Scope
mpalu searching........Naona, CDM tutafakari haya.... hatuko tayari kushika dola kwa umwagaji damu kama huuu!!! tuangalie alternative strategy!! tuwe wajanja kama nyoka na wapole kama Huwa...... this is not acepted
Pamoja na ushahidi wote huu wa picha zinazoonyesha polisi wakimshambulia kwa kipigo na hatimaye kumlipua kwa bomu Daudi Mwangosi, lakini bado kuna baadhi ya wakuu wa jeshi la polisi wameuza akili zao na kujaribu kuuhadaa umma na blah blah za kipumbavu kabisa.
Hawa manyang'au wa polisi tukiendelea kuwachekea watatumaliza mmoja baada ya mwingine. Ni muda muafaka sasa wa kusema inatosha, tuchukue hatua za kujihakikishia usalama wetu na mali zetu kwani chini ya hawa manyang'au uhai wetu umewekwa rehani, muda wowote, wakati wowote wakijisikia tu wanaua kadri wanavyotaka.