PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Ni wakati wa kuamka sasa watatumaliza,maji yamewazidi na uoga umewajaa,mabadiliko,kujikomboa wanamwaga damu za wasio na hatia,policcm=majambazi,wauaji.tukiwafuata hawaponi as soon w're goin to resist the terrorists i.e polices,God be with us
 
Mie naomba niulize swali moja tu!!!

" KWA NINI CHADEMA WANAFANYA MAANDAMANO PASIPO KIBALI.....? "
 
Nimeangalia kwa makini naona kama marehemu alikuwa amemshikilia kamanda kiunoni....!!! Sasa sijui ndo akatoa amri ya kuuawa?
 
Kweli huu ni ukatili!!! watoto wa Mwangosi wataelewa nini juu ya utawala huu,mke wa Mwangosi atafarijika vipi na jambo hili? fujo gani iliyokuwepo hata kuamua kumlipua mtu asiye na hatia Morogoro it was said flying object'? sasa mtasemaje tena mauaji haya makusudi kuharibu m4c
 
chakushangaza chadema nao eti wanasubiria taarifa ya polisi ndio wazungumze. Itakuwaje mharifu awape report? Chadema pelekeni wanasheria wenu nyororo-iringa wakafanye uchunguzi wa kina juu ya tukio, toeni tamko!
sidhani kama ni kazi ya wanasheria kufanya uchunguzi...
 
Ni baba mwenye mke na watoto.
Kikkwete you should remember that with every breath you take
 
sidhani kama ni kazi ya wanasheria kufanya uchunguzi...

Hujui chochote wewe, kuna investigative lawyers kazi yao kufanya uchunguzi na kutafuta ushahidi. CHADEMA PELEKENI WANASHERIA WENU WAKACHUNGUZE!
 
attachment.php

Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.
huyo askari aliyepiga risasi ni kwamba anamori sana au vipi,ndo aonekane mfanyakazi bora ama/tena mbaya zaidi kuna mmoja anaonekana anazuia huo unyama,maana sielewi2 hapo
 
Ewe Mungu wa Ibrahimu,tunaomba utulinde na maovu haya yanayofanyika dhidi ya viumbe wako. Roho ya marehemu ipumzike kwa amani
 
Ni udhalimu na ukatili unaofanywa na polisi dhidi ya raia.Damu za hawa watu zitawalilia daima
 
Nadhani sasa umefika wakati hawa askari wetu wawe wanapimwa akili, haiwezekani, hata kama umearishwa kuuwa uaamua kuua kwa mtindo huu!!!!!! huu ni unyama wa hali ya juu. na sijui kama haki yoyote itatendeka dhidi ya tukio kama hili. Ukiangalia lililotokea Morogoro hivi karibuni, mtu kapigwa risasi polisi na madaktari wao wakasema kapigwa na kitu kizito bila kusema kapigwa na nani!!! na hiyo ndio imeishia hapo. na hili swala la Mwangosi naliona kama litaisha kwa mtindo huo huo. Tuendelee kuomba mungu kwani haya yote yana mwisho.

mkuu hujamsikia kamanda Kamuhanda alivyosema?marehemu kauawa na mlipuko uliotoka kusikojulikana.Tanzania sasa hivi kuna miujiza,yule kauawa na kitu kizito,aliyekitupa hicho kitu kizito hajajulikana/hajakamatwa mpaka leo,huyu kauawa na mlipuko usiojulikana ulikotoka,kesho sijui mwingine atauawa na nini?tuendelee kusubiri muujiza mwingine.
 
....acheni kuandamana mnasababisha vifo kwa wasiohusika..shame on chadema

... Sasa Kama Hawa watu wameandamana Lindi, Then Mtwara, Then Kote huko na then wamemaliza wamepumzika majumbani sasa Uoga unatoka wapi? waandamane mwisho watalala!!
 
Kweli huu ni ukatili!!! watoto wa Mwangosi wataelewa nini juu ya utawala huu,mke wa Mwangosi atafarijika vipi na jambo hili? fujo gani iliyokuwepo hata kuamua kumlipua mtu asiye na hatia Morogoro it was said flying object'? sasa mtasemaje tena mauaji haya makusudi kuharibu m4c

"mlipuko uliotoka kusikojulikana"kamanda kamuhanda
 
Naona, CDM tutafakari haya.... hatuko tayari kushika dola kwa umwagaji damu kama huuu!!! tuangalie alternative strategy!! tuwe wajanja kama nyoka na wapole kama Huwa...... this is not acepted
 
Nimeangalia kwa makini naona kama marehemu alikuwa amemshikilia kamanda kiunoni....!!! Sasa sijui ndo akatoa amri ya kuuawa?


Ukitulia zaidi utajutia hata post yako ya kwanza.......hujawahi ona waandishi vitani.............(hata CNN/BBC)???????
Hata kama hakuwa na kibali......kuuliwa raia kinyama namna hii unahoji kibali????? Are you up your senses??????

Kimbweka wahed
 
R.I.P Daudi Mwangosi.....

Inasikitisha sana kwa jeshi la polisi kutumia nguvu iliyopitiliza kwa kiasi hicho. Hii ni kukiukwa kwa haki za binadamu katika chombo kinachotegemewa kulinda hizo haki.

@ n000b - Tunashukuru kwa angalizo lako la picha, bali nasikitika kuna baadhi ya member tayari wamezipost bila kuficha sehemu ulizozitolea angalizo.
 
Lakini mmesikia kago-njaa anavyo jaribu kuungopea umma wa waTZ?

Anasema eti marehem alivalishwa mlipuko na alikuwa anakimbilia upande wa polisi kuomba msaada gafla mlipuko ukatokea, wataalamu wa milipuko toka JWTZ na polis wameenda kufanya uchuzi!

Aloooo nimepata hasira kwa huo uongo wa kago-njaa kidogo niivunje TV!
 
Back
Top Bottom