Nzenzu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 858
- 164
As of now tunataka tamko la CDM la kumtaka RPC kuresign na kufuatiwa na mashitaka juu yake,mtu hawezi kuuliwa tena zaidi sana kuuliwa hvi,we must act now or never,hivi vitu vinaumiza lazima watu wawjibishwe,i am serious ktk hili lazima watu waresign,say it Dr Slaa,hatuwez kuwa kimya kwa hli............God bless Tanzania
Chakushangaza CHADEMA nao eti wanasubiria taarifa ya polisi ndio wazungumze. Itakuwaje mharifu awape report? CHADEMA PELEKENI WANASHERIA WENU NYORORO-IRINGA WAKAFANYE UCHUNGUZI WA KINA JUU YA TUKIO, TOENI TAMKO!