wana jamvi kitendo hiki chakinyama kimensikitisha sana...na hii nikutokana na mauwaji yanayo fanywa na polisi husika kuto kuchukuliwa hatua mfano mauaji ya arusha na yajuzi moro....polisi hawa laiti wangewajibishwa na wengine wange jifunza,,,sasa kama serekali haita shuhulikia hili itabidi wananchi tuanze kuwasaka mmoja mmoja nakuwa fundisha maana ya haki za bina damu,,my take...Tanzania wajitoe kwenye mkataba wa kimataifa wa haki za binadamu kwani hakihizo hawazizingatiii
polisi hawajaasi dola la sivyo wangepelekwa kwenye mahakama za kijeshi au za kiraia...wanafanya wanachoelekezwa na wakubwa wao wa kazi. wasipofanya hivyo utawalipa wewe mishahara na kutunza ajira zao? tukiweza kuanzia leo tususie wabunge wote na amiri jeshi mkuu wa Tanzania ambao kila wakati huwatetea na kuwapongeza polisi kwa ukatili wanaowafanyia raia.
nashangaa hata great thinkers mnapiga kivuli na kuacha kupiga chanzo cha kivuli... kazi kwel kwel!