Na yeye alikua anafanya nn huko?
Akakojoe...? Huyo anauharo akaharishe akalale.
Chadema ni chama cha mauaji.
BAK, Kikwete ni msanii kwasababu anajua kuwa Watanzania watalalamika kisha 'yatapita kama upepo'. Dharau yake na usanii ni mauti yetu. Angalia jinsi Mwangosi alivyovurugwa kama kicheche....Sijui kama hili litatokea Mkuu. Kikwete ni msanii wa hali ya juu na hana ubavu wa kufanya lolote lile. Siku zote ameweka mbele maslahi ya magamba badala ya yale ya nchi. Nchimbi, Mwema na RPC wa Iringa wote wanatakiwa kujiuzulu mara moja na polisi wote waliohusika na mauaji haya ya kinyama kuwekwa ndani mara moja na kufunguliwa mashtaka ya mauaji.
Hawa ndiyo Polisi wa Tanzania, ni heri ya wale waliokuwa wa makaburu wa Afrika Kusini enzi za ubaguzi, swali kwa Said Mwema, huu ndiyo utendaji wa weledi uliotuahidi wakati ulipoteuliwa kushika nafasi hiyo ya u-IGP? Mmeua kule Arusha, Mbeya, Songea, Morogoro na karibu kila mkoa. Binafsi naona tatizo ni kufanya kazi kama robot kwa mdundo wa CCM. Kujipendekeza kwenu CCM mtaishia De Hague kujibu mashtaka ya makosa dhidi ya haki za binadamu na wengine mtapata wakati mgumu sana baada ya mageuzi na pengine itawabidi muishi kwa kujificha au kuikimbia nchi.Inatisha mtu hana hatia mnam-treat kinyama namna hii sio haki kabisa.
Kwa hiyo aliyeuwawa sio D mwangosi eti bwana Ngozi mbili ya chui na kondoo?,
kwenye ushahidi kama huu sidhani kama kuna polisi hapo atatoka...ni lazima waende na maji...unakumbuka wale polisi wa usalama wa barabarani waliokamatwa na jerry muro wakilamba rushwa?wewe mgeni wa nchi hii? hao askari watahamishwa mkoa, kesi za uongo zitafunguliwa hapa na pale kuvuta mda. wananchi wakisahau yanazuka mengine na hayo yanakufa kifo cha asili. kwangu binafsi sina msamaha kwa serikali na polisi, labda kama wataomba msamaha kwa raia na kuwaadhibu waliohusika bila kuleta longolongo zao!
ngozimbili, mimi nitakusaidia...unamwona huyo anayechukua video akiwa na begi yake begani? Huyo ndiye marehemu David Mwangosi (RIP) ambaye jambazi Kamuhanda kaagiza atolewe uhai wake.ahsante mie chizi na wengine watusaidie mie na uchizi wangu nimeiona jeans ya blue na anaepigwa kikatili ana suruali ya khaki.ngoja nikatibiwe nikirudi niione ya khaki.