Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Hivi ni kweli huko Bububu CCM waliruhusiwa na polisi kufanya mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa kampeni ya uchaguzi? Huyo RPC kamuhanda anajibu nini kuhusu hilo? Au zanzibar hakuna sensa?
Jamai polisi, mnapoambiwa mnaionea CDM mnapinga -- haya, hilo linawasuta! Mnatumika kiasi hata utu wenu unatoweka. Ipo siku askari walio chini yenu watagoma kutii amri zisizokuwa na common sense.