TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Kwanza tuhakikishe kuna ulinzi kwa wananchi,polisi hiyo kazi hawaiwezi tena,na hatuwezi kulivunja hilo jeshi kwa sasa.Kuna thread nimeanzisha yenye kukaribisha maoni ya ni kwa vipi wananchi wajilinde.

Good!
Let me go and see it.
 
Hoja za JF zinawashinda mnakuja na matusi, huko mitaani mnaanzisha chokochoko halafu mnauwa halafu mnakuja humu mbio na kusambaza polisi wameuwa. Juzi Morogoro mliuwa kwa nondo, mmestukiwa, leo Iringa mmeamuwa kutumia risasi.

Hii njama yenu itajulikana na wengi tu, wachache tumeshaijuwa.
Picha inazungumza zaidi kuliko maneno.
attachment.php
 
jamani hivi chadema ndiyo inayosema polisi waue mbona kuna watu wana udongo mwingi saana vichwani mwao mnaandika chadema ndio imesababisha kwa vipi?
Tangu lini gamba likawa na kichwa?mkuu
 
Remmy,ile thread niliyoianzisha kupata maoni ya kuhusu umuhimu pamoja na namna ambayo wananchi wanaweza kujilinda imeshafutwa.Sijui kwanini.

Jamaniiii
Hawa moods sijui vipi?
 
Last edited by a moderator:
Litakuwa kosa ambalo matokeo yake yataingia kwenye vtabu vya historia na kusomwa miaka 50 ijayo- poor ccm regime cause CIVIL WAR in tanzania, the then known HEAVEN OF PEACE.
 
Jamaniiii
Hawa moods sijui vipi?
Kuna mod ambaye simwelewi,ama maybe haelewi kazi,ama maybe hana nia nzuri na nchi yetu.Amefuta thread ya maana,halafu watu wanasapoti mauwaji na previously udini,mabandiko yao ndo yana prevail.Wahusika muangalie haya.Hii forum si ya wananchi?
 
Hiki chama cha wauaji kifutwe tu. Kila wanapokwenda wanauwa.

umeona mwanachadema anafyatua risasi au umeona polisi?? ANGALIA PICHA HALAFU USEME KAMA HUYO MWENYE HELMET NDIO CHADEMA... THIS TIME IMEKULA KWENU, THE WHOLE WORLD WILL SEE THIS PHOTO, KAMA ILE YA YULE KIJANA WA MWENZENU ALIYEUA PALE NYUMBA ZA MAWAZIRI MAKUMBUSHO
 
Hiki chama cha wauaji kifutwe tu. Kila wanapokwenda wanauwa.

Subiri uone waTZ watakavyo kitosa kwani this time polisi wamenaswa wakiua hawawezi kubisha kuwa wanaua watu
 
IGP Said Mwema uliwahi kusema hauko tayari kwenda kwenye mahakama ya kimataifa Uholanzi , sasa hiki8 ni kitu gani ? utakuwa wa kwanza kupelekwa humo usikubali kuwa wewe ndio tatizo jifunze wenzio wanakula nchi wewe unaumizwa bila sababu chukua hatua ni ushauri wangu kwako. Kumbuka uliwahi kusema mahali hauko tayari kupewa ajira ya mkataba ili usiende huko uholanzi
Saddam hakupelekwa uholanzi.Watashitakiwa ndani ya ardhi ya Tanzania na mahakama ya wananchi.Hiyo ya the hague mbali huko.
 
Natoa pole kwa wafiwa. Ila nawashangaeni mno,nyie sindio juzi juzi mmeiona serikali ni sikivu kwenye suala la sensa?mkawatukana waislam kadri mlivyoweza na tena mkawa mnashangilia kila mnaposikia police wanawavamia waislam majumbani mwao na kuvunja milango kisa wamegomea sensa. Sasa leo nadhani mnajisifu ujinga kuwa mnakuwa upande wa serikali pindi serikali inapokuwa inawadhulumu waislam ila inapowageuzia mchezo mnalalamika. Jifunzeni kusema ukweli siku zote. Jana police kwa waislam mlishangilia leo imekuwa tofauti.

A parochial/myopic, dead and irrelevant point; sorry!
 
Plz wekeni link ya hiyo thread.

Thread ya Mzee Mwanakijiji ya kushauri CDM kuandaa maandamano dhidi ya polisi ni Muhimu sana

Katiba mpya iruhusu rais ashitakiwe baada ya kumaliza muda wake sababu yeye ndo amiri jeshi mkuu na ndiye anayewateua hawa watu wake

R.I.P bro. Mwangosi

CCM na Polisi wake wao ndiyo wauaji wakubwa, hakyamungu CCM ikiondolewa madarakani lazima JK tumkamate tumyonge hadharani kama Samwel Doe, haiwezekani mauaji ya kutisha yafanyike tunyamaze,na yeye anashangilia Ikulu wanadhani watatawala milele hawa,History will tell. Wanadhani wakifanya mauaji watanganyika watanyamaza,damu ikishamwagika sawa na wala nyama za binadamu hawaachi,hii ni laana kwa CCM na serikali ya JK.Hata wakienda Butiama kutambika ili kunusuru haya hata Nyerere hatawasikiliza.Kilichobaki ni mbele kwa mbele.
 
CCM na Polisi wake wao ndiyo wauaji wakubwa, hakyamungu CCM ikiondolewa madarakani lazima JK tumkamate tumyonge hadharani kama Samwel Doe, haiwezekani mauaji ya kutisha yafanyike tunyamaze,na yeye anashangilia Ikulu wanadhani watatawala milele hawa,History will tell. Wanadhani wakifanya mauaji watanganyika watanyamaza,damu ikishamwagika sawa na wala nyama za binadamu hawaachi,hii ni laana kwa CCM na serikali ya JK.Hata wakienda Butiama kutambika ili kunusuru haya hata Nyerere hatawasikiliza.Kilichobaki ni mbele kwa mbele.
 
RIP Daudi, jamaa alikuwa anajituma sana kipindi nipo Iringa nadhani yeye ndio alikuwa yupo juu kwa kufanya video documentation
 
Majebere Zomba watoto wa kikwete mwambieni kuna siku atachomekwa majiti matakoni kama alivyofanywa Gaddafi,mwambieni shemeji wa kikwete Saidi Mwema na likitambi lake kwamba hafai hata kwa mchuzi wa kuku kuwa IGP
mapolisi majinga kumi pamoja na RPC Kamuanda naye kainua fimbo anapiga mwandishi na wote wameelekeza bunduki kusambaratisha utumbo kichwa miguu maini ya Daudi Mwangosi ipo siku hakika ipo siku mutajificha kwenye mitaro mbuzi nyie
attachment.php
 
izi mbinu chafu kabisa za magamba hali ni mbaya hasa kwa ccm

Hali si mbaya kwa ccm hali ni mbaya kwa raia maana serikali ya ccm inatumia polisi kuua raia kwa kisingizio cha kuzuia vurugu kwenye mikutano au maandamano!
 
Back
Top Bottom