TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Inasikitisha sana kuona damu inamwagika kila kukicha kwa sababu ya madaraka
 
Na mimi ninakuhakikishia kabisa kwamba damu ya mtu haipotei bure ndugu yangu zomba. Kama ni CDM wameua basi adhabu ipo kwao na kama ni policeccm au ccm yenyewe basi mungu huyu ni wa ajabu. Ila ninakuomba sana usifikirie kwa kutumia hayo ya nyuma yako (Makal)

Hoja za JF zinawashinda mnakuja na matusi, huko mitaani mnaanzisha chokochoko halafu mnauwa halafu mnakuja humu mbio na kusambaza polisi wameuwa. Juzi Morogoro mliuwa kwa nondo, mmestukiwa, leo Iringa mmeamuwa kutumia risasi.

Hii njama yenu itajulikana na wengi tu, wachache tumeshaijuwa.
 
MIMI KILA SIKU NINAMWOMBA MUNGU SIKU MOJA AWAUMBUE HAWA WATU. KUMBUKENI NYIE NI BINADAMU TU SIKU MOJA MTATAKIWA KUJIBU MBELE YA MOLA WETU KWA HUO USHABIKI WENU WAKATI UKWELI MNAUJUA.NYIE ENDELEENI KUUA TU. NINAKUMBUKA USEMI USEMAO ANAYEUA KWA UPANGA HUFA KWA UPANGA. KUMBUKENI Hitler, Samweli doo, Charles Tailor, Gadafi, Sadamu, Osama, laurent kabila na wengine wengi. Narudia tena mnaoshabikia huku mnajua ukweli mungu atawadhibuadhabu mbaya sana.
 
Can you believe the source?

Yah if you read it carefully you won't bealive the source the dude he just jump to post what he had without think though it's true story he should do some editing haha you also made my day
 
RIP brother!Huu ni mpango wa serikali ya ccm kuiangamiza CHADEMA,rejea kauli ya wasira!Kuna haja cdm kureview mikakati yake ya kujiimarisha ili kuzuia mianya ya kina wasira kuwahujumu!
 
Hoja za JF zinawashinda mnakuja na matusi, huko mitaani mnaanzisha chokochoko halafu mnauwa halafu mnakuja humu mbio na kusambaza polisi wameuwa. Juzi Morogoro mliuwa kwa nondo, mmestukiwa, leo Iringa mmeamuwa kutumia risasi.

Hii njama yenu itajulikana na wengi tu, wachache tumeshaijuwa.

wewe ni nani bana wewee!!!
Tikiti maji tu wewe, ndani mwekundu kama wenzako wa kona baa.
 
MIMI KILA SIKU NINAMWOMBA MUNGU SIKU MOJA AWAUMBUE HAWA WATU. KUMBUKENI NYIE NI BINADAMU TU SIKU MOJA MTATAKIWA KUJIBU MBELE YA MOLA WETU KWA HUO USHABIKI WENU WAKATI UKWELI MNAUJUA.NYIE ENDELEENI KUUA TU. NINAKUMBUKA USEMI USEMAO ANAYEUA KWA UPANGA HUFA KWA UPANGA. KUMBUKENI Hitler, Samweli doo, Charles Tailor, Gadafi, Sadamu, Osama, laurent kabila na wengine wengi. Narudia tena mnaoshabikia huku mnajua ukweli mungu atawadhibuadhabu mbaya sana.

hii ndio inadhihirisha usemi wa baba wa taifa kuwa anaekula nyama za watu huwa haachi,chadema walianza na mtu mmoja sasa kila kona ni vilio na simanzi.
 
Hoja za JF zinawashinda mnakuja na matusi, huko mitaani mnaanzisha chokochoko halafu mnauwa halafu mnakuja humu mbio na kusambaza polisi wameuwa. Juzi Morogoro mliuwa kwa nondo, mmestukiwa, leo Iringa mmeamuwa kutumia risasi.

Hii njama yenu itajulikana na wengi tu, wachache tumeshaijuwa.

Nina uhakika hujui kabisa zomba kinachokusumbua ni mapenzi yako na CCM hata madudu yanyike lazima utete tu. Ukweli walioua ni polceccm basi inatosha. Hata kichaa hilo anaweza litambua. Ila ninakwambia huyu mungu ni waajabu siku moja atauweka ukweli wazi. Tutajificha kwa binadamu wenzetu kwa hizi ID lakini si kwa mungu ndugu yangu.
 
What a good country to live...Hii ndio serikali ya awamu ya nne bwana.
 
Mkutano mwingine ni zamu ya Slaa,haiwezekani asababishe yote haya halafu yeye anabaki pembeni wakati wananchi wanakufa. Huyu mzee anatakiwa apelekwe pale mnazi mmoja akachapwe viboko kama mtoto wa shule. Labda akili zitamrudi

sijawahi ku replay comment zako lakini nadhani kama kweli unayoandika yanatoka rohoni basi unamatatizo makubwa ya akili ,hivi kwa mtu mwenye akili timamu unaweza shabikia tukio kama hili? bahati yako jina unalotumia ni undercarpet!
 
Matokeo ya Uchunguzi;

"Marehemu ameuwawa na kitu chenye ncha kinachokwenda kwa kasi, lakini SIO risasi"
 
Nimeamini! Kwa dalili hizi kabla ya 2015 kitanuka! This is too much! Kuna kitu kimenikaa kooni...aaaargh!&*!¥
 
Hivi GATS, huyu t2015ccm anazo? Polisi ni Chadema? Mauaji yamefanywa na "flying object", ilitokea mbinguni? Nani ambao hutumia flying object kihalali kama sio polisi ambao wengi wao ni washabiki wa huo utumbo uliooza(CCM)? Kwani hata wakiibadili jina badala ya kuitwa risasi waiite round, bullet,ammunition, flying object na mengine bado wauaji ni Polisi . Na hii huchangiwa na uwezo wao mdogo wa kukabiliana na mambo....sikupatii picha GATS..hiyo hiyo migamba ndio inabeba silaha hata hadharani..BASHE, DR KIGWANGALLA, RAGE,POLISI, OLE SENDEKA (CCM)dhidi ya OLE MILLYA(CHADEMA),LAURENCE MASHA dhidi ya POLISI wenyewe....list ni ndefu kwa kweli sijui kama nikiendelea nitaimaliza....TAFAKARI!!!
flying object inaweza kuwa ata mhogo mkavu sio lazima iwe risasi au bomu la machozi,inaweza kuwa hata jiwe ambalo limerushwa na wanacdm.
 
hii ndio inadhihirisha usemi wa baba wa taifa kuwa anaekula nyama za watu huwa haachi,chadema walianza na mtu mmoja sasa kila kona ni vilio na simanzi.

Ninakwambia hujui usemalo mungu siku moja atakupiga upofu kwasababu unaongea huku unajua ukweli ni nini lakini unajitahidi kupindisha. Huyu mungu mwacheni aitwe mungu. Adhabu utakayoipata hata kama umejificha kwa ID mungu anajua mpaka mawazo yako.
 
NZZgTiLeLxM
[video=youtube_share;NZZgTiLeLxM]http://youtu.be/NZZgTiLeLxM[/video]
 
Sioni kama kuna uhalali wa kutumia siraha za moto kudhibiti maandamano ya wananchi wasio na siraha. Mbona wanao hujumu rasirimali zetu hawaguswi?
 
Back
Top Bottom