Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapuuzi sana Polisi wetu
lakini wewe kwa kiwango kikubwa you are not normal person ni kama shetani fulani wewe ila wambie watawala tutawakuta siku 1 huko wanakotumia ujumbe wa kutuuaWewe mpuuzi usijifanye kila kitu hunajua hii forum habari ni nyingi kuhusu ili tukio kuna habari ingine humu inasema kauuwa kwenye vurugu, kuna habari zingine zinasema kapigwa risasi, kuna habari zingine zinasema kapigwa bomu, mie kuhoji imekuwa tatizo wa ngapi wamehoji ujawajibu..wewe mbona umesema nchi hatawaliki tena si maoni yako upo uhuru, mie kuhoji tatizo acha upuuzi wa kitoto.
Chama cha mabwepande tumesha kishitukia kuwa kina mpango wa kutumia nguvu za kijeshi kuidhoofisha chadema ,hii inatokana na mafisadi kuiogopa CDM,sasa wewe 'POYOYO' unajifanya HILI hulijui kamuulize babu yako6 HAMNA JEURI YA KUIFUTA CDM.mwisho wenu mabwepande umefika.Hiki chama cha wauaji kifutwe tu. Kila wanapokwenda wanauwa.
sijawahi ku replay comment zako lakini nadhani kama kweli unayoandika yanatoka rohoni basi unamatatizo makubwa ya akili ,hivi kwa mtu mwenye akili timamu unaweza shabikia tukio kama hili? bahati yako jina unalotumia ni undercarpet!
Hoja za JF zinawashinda mnakuja na matusi, huko mitaani mnaanzisha chokochoko halafu mnauwa halafu mnakuja humu mbio na kusambaza polisi wameuwa. Juzi Morogoro mliuwa kwa nondo, mmestukiwa, leo Iringa mmeamuwa kutumia risasi.
Hii njama yenu itajulikana na wengi tu, wachache tumeshaijuwa.
Wewe mpuuzi usijifanye kila kitu hunajua hii forum habari ni nyingi kuhusu ili tukio kuna habari ingine humu inasema kauuwa kwenye vurugu, kuna habari zingine zinasema kapigwa risasi, kuna habari zingine zinasema kapigwa bomu, mie kuhoji imekuwa tatizo wa ngapi wamehoji ujawajibu..wewe mbona umesema nchi hatawaliki tena si maoni yako upo uhuru, mie kuhoji tatizo acha upuuzi wa kitoto.
wanao shabikia ni CDM,unafikiri wanachi wakizidi kufa ndio mtapata nguvu zaidi?Slaa alishindwa nini kusuburi siku chache aendelee na mikutano yake? Yeye ana beep,akipigiwa anampa mwingine apokee.sijawahi ku replay comment zako lakini nadhani kama kweli unayoandika yanatoka rohoni basi unamatatizo makubwa ya akili ,hivi kwa mtu mwenye akili timamu unaweza shabikia tukio kama hili? bahati yako jina unalotumia ni undercarpet!
Tunaelekea wapi sasa? Ilianzia Arusha, ikaenda huko Igunga kukawa na Majeruhi, Ndago akafa mtu, Morogoro uhai wa Ally ukazimwa na sasa uhai wa Mwangosi umezimwa kama mshumaa. Tunaenda wapi na je tutafika salama au hatutafika ama tutafika tukiwa hoi na vipande vipande? Leo mauaji kesho mauaji basi hatuko salama inabidi kama taifa tufanye kitu.
ndo maana naamini hawa wachache kina Zomba,ndo watopu wenyewe wauwaji walioko madarakani,hakuna mwananchi wa kawaida atakayeweza kuzungumza wanayoyazungumza hata kama wako ccm.sijawahi ku replay comment zako lakini nadhani kama kweli unayoandika yanatoka rohoni basi unamatatizo makubwa ya akili ,hivi kwa mtu mwenye akili timamu unaweza shabikia tukio kama hili? bahati yako jina unalotumia ni undercarpet!
kaka nadhan unaandika haya huku roho inakuuma sana kwa ajili ya watu wanaouliwa na polisi hasa ukizingatia ukweli unaujua. Hapa dunian tu kaka kuna siku tutakuwa hatukuoni humu jf na zaidi mungu anakusubiri kwa haya unayoshabikia kinafki.Hiki chama cha wauaji kifutwe tu. Kila wanapokwenda wanauwa.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wua-mwandishi-wa-channel-ten-huko-iringa.html, angalia vizuri hiyo picha utaona chadema wamemwelekea mtutu wa bunduki mwandishi.
Hiki chama cha wauaji kifutwe tu. Kila wanapokwenda wanauwa.
Huyo siyo kwamba ni kama shetani",huyo ni shetani.lakini wewe kwa kiwango kikubwa you are not normal person ni kama shetani fulani wewe ila wambie watawala tutawakuta siku 1 huko wanakotumia ujumbe wa kutuua
Labda na Chama cha magamba kifutwe!. La sivyo patakuwa padogo!. Kwa ufupi patachimbika!.