Itafikia wakati tutaingia msituni...ole wao!! Tukirudi sasa......
Ok kwa hiyo walikuwa na chuki na hao waandishi wa habari.....?
Swali " Aliwafanya nini mpaka wamchukue wampige na kisha kumlipua?"
Tumefikia pabaya sana...!!
hata kama amewafanyia kitu kibaya cha kuchukiza, wao ni wakinanani wajichukulie sheria mkononi ya kumpiga bomu? How do u justify killing unarmed pressman?! Hapo wamekosea kaka, kazi yao sio kuua, ni kulinda amani.
Sikiliza ndugu....mimi sijawahi kuwa na kadi ya chama chochote kile na wala sina mpango huo......kwani ukombozi wa kweli hauko kwenye chama tena cha kisiasa ndo kabisaaaaa hakuna ukombozi wa kweli huko!!!!!
Vua miwani ya kisiasa na uwe huru kwenye fikra then angalia hiyo picha upya ndo utaelewa nini nazungumza hapa!!!!!!
Mauaji ya aina hii hayana mwisho mzuri na ni jambo la kukemewa usiku na mchana....
HESHIMA YA UTU NA MAISHA KWANZA HALAFU HIYO SIASA ITAFUATA KWA WATU KAMA WEWE MNAOAMINI JUU YAKE
Hicho ndicho ambacho kila mtu anajiuliza......inavyosemekana ni kuwa huyu mwandishi walikuwa wanamuwinda siku nyingi(mie pia sijui sababu) hivyo jana ni kama walimkamata kwenye kumi na nane zao!.......kama ulifuatilia kipindi channel ten leo asubuhi utagundua kuwa huyu mwandishi wala hajauliwa kwa bahati mbaya .......police walidhamiria kumuua na wakati wanafanya mauaji hawakujua kuwa kuna waandishi wengine walikuwa pembeni wakishuhudia.......kuna mwandishi mmoja anasema nae walimkamata wakaanza kumpiga akawa anajitetea police wakamuuliza unataka na wewe tukupeleke pale kwa mwenzio? (Daudi) .....unaona eeh !
EEEEEEEEEEEEEEEEH mwenyezi MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI mwingi wa rehema uwalaani askari hawa na viongozi wao na ukoo wao na wale askari wote na ukoo wao wanaofanya kazi kwa kushinikiza kuangamiza nguvu ya umma kwa kutumia nguvu za ziada na uwape moyo wa imani familia ya Marehemu Mwangosi
Ushoto Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda KuliaHayati Daud mwangosi
Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.
Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio
Maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.
Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.
Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.
hata kama amewafanyia kitu kibaya cha kuchukiza, wao ni wakinanani wajichukulie sheria mkononi ya kumpiga bomu? How do u justify killing unarmed pressman?! Hapo wamekosea kaka, kazi yao sio kuua, ni kulinda amani.
Mmmmh kweli...MUNGU atusaidie,
Nimeshindwa kuwaelewa hawa jamaa kwa kweli....
Ungemsikiliza Chagonja asubuhi ndio usingewaelewa kabisa......yaani amejaribu kuongea uongo kama vile hakuna Mungu......ila cha kufurahisha ni kwamba waandishi waliokuwepo eneo la tukio ni mashahidi kwa kilichotokea!
Yaani walaaniwe popote walipo wao na familia zao!
Heri Sikumsikiliza kabisa.......
What's your point dude......!!!hivi una akili timamu asee iyo damu unayoona hapo ni sawa eeh hata kama uko ccm kuna mambo mengine mpunguze unafki wenu bwana aah