PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Wale wa ulimboka walitajwa kwa majina lkn hakuna kilichofanyika na tupo nao tu mitaani kwa raha zao na sisi watz tumenyamaza kimyaaaa....sasa hayo majina ya waliomuua mwangosi tutayafanyia nini?
Watz tumekuwa mazuzu sana!

Inasikitisha sana kwakweli.....tutaandika hapa weeeee lakini hamna lolote la maana litakalofanyika! Mungu atusaidie tu waja wake.
 
Hali kama hii inasikitisha na inaumiza sana tafakali ingekua yeye au ndugu yake kafanyiwa haya. Watanzania tumwogope Mungu
 
Hakuna shida ila mungu yu nasi atajibu maombi yetu hapa hapa duniani kapumzike mwangos
 
Tuwekee na picha za askari aliyechinjwa zanzibar....ndo nione alaf ndo niunge hoja..
 
Haki haitapatikana kama Ccm ikiwa madarakani ,Ccm ni janga tuitokomeze
 
Hii ya mwisho ambapo hawa dhulmu lnafsi wanamshughulikia mwenzao,majeruhi wao alikuwa anakuona ukiwafotoa, enlarge uone alivyo kutolea jicho nundu!
 
Hizi zitasaidia mahakama, haziharibu ushaidi. Lakini wengine wamaonyesha kuogopa kitendo hicho.
 
Tuwekee na picha za askari aliyechinjwa zanzibar....ndo nione alaf ndo niunge hoja..

Wa Zanzibar alichinjwa kwa sababu Serikali ya CCM inalea udini? Zanzibar walomchinja askari ni wale wenye haki ya kuchinja nchini Tanzania, na wala hajachinjwa na wanahabari.
 
Hivi ndivyo tunavyoishi sasa hapa Tanzania!.. Ukiona polisi kimbia ukiwafuata watakuua tu!

Jana nikiwa kwenye daladala alipanda kijana mmoja akiwa na magwanda ya polisi, nikamwambia konda achague moja, kuendelea na mimi au askali ashuke? Abiria wakaniuliza kulikoni, nikawambia hawa wanatembea na vitu vyenye ncha kali; abiria wote wakashout, ashuke huyo askari - kwanza huwa hawalipi nauli. Kwa aibu askari akashuka!
 
hii ya mwisho ambapo hawa dhulmu lnafsi wanamshughulikia mwenzao,majeruhi wao alikuwa anakuona ukiwafotoa, enlarge uone alivyo kutolea jicho nundu!

waandishi wa habari wenyewe wanafiki hawana umoja,wameshindwa kumtetea ili haki ipatikane,wengine ni wasaliti
wanasalitiana wenyewe kwa wenyewe hamna haki mtakayoipata kamwe na mtaendelea kuuawa tu
 

Umeifanya siku ya leo niimalize kwa kicheko!. Kweli polisi si wenzetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…