Bukutonaga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 246
- 46
RIP Mwangosi najua umetangulia hata walo kutanguliza nao watafata,Mungu anajua
Umeona JG jamaa wa nyololo ni muhimu kutoa ushahidi lakini utashangaa tume haitawafikia
Umbea tuu hamna cha kufanyaaaa!!
Umbea tuu hamna cha kufanyaaaa!!
hapa ndipo napolikumbuka gazeti mwanaharisi.
Hii mada nimeipenda ... waliopo iringa na viunga vyake wekeni majina ya hawa askari mumiani hapa jamvini
all eight suspects must be identified in this brutal and militant killing of an innocent Tanzania ..... and we know who our enemies are?
series and episodes continues
Mimi ningekuwa Iringa nikimfahamu askari naanza kumvizia yeye, mke wake, mtoto wake au wazazi wake. Naua mmoja baada ya mwingine silently! Wananchi tukiua Polisi 3 kwa wiki kwa mwezi mmoja it means 12 a month. Lazima serikali ishtuke!
Naamini watu wa Iringa mnapitapita humu hebu mdadisi basi jamani tujue majina ya hawa majambazipolice!
Katika hili suala la mauaji kuna maswali mengi zaidi ya majibu, let's think out aloud...