PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Naomba wanaopelekwa CCP wawe ni wale waliopata daraja la kwanza,pili na tatu kwa mtazamo wangu wana akili nzuri tofauti na ilivyo sasa wanapochukuliwa wa daraja la nne au waliofeli na kuwa na vyeti vya kufoji pia muundo wa jeshi zima ubadilishwe kwani humo utakuta wengine ni maofisa waandamizi lakini elimu yao inatia shaka ndio maana wanachukua maamuzi ya ajabuajabu kama kumfyatulia bomu la machozi mtu tumboni sijui ni bangi au nini,ila la msingi Mfumo mzima wa jeshi la polisi unafaa kuangaliwa vinginevyo raia wengi watauawa pia Polisi wengi watakufa hivyo kutokuwepo na faida ya POLISI jAMII kama huyu unaemlinda unamuua utamlinda nani ukiwamaliza wote! POLISI WAJITATHMINI WANAELEWEKAJE KWENYE JAMII tuhuma nyingi za rushwa ziko kao yaani hamna kuaminiana kati ya raia na polisi TANZANIA
 
Daaah! mpaka natetemeka yan, polisi wetu ni bas tu, sheria hakunaaaaa???????????????
 
nilishasema siku moja; hakuna haja ya kumlaumu mbwa; wa kulaumiwa ni mwenye mbwa.
Utaratibu wao wa kazi ni kwamba anayekuzidi cheo hata kama akikuamrisha kumuua mtoto wako - ukikaidi ni kosa kubwa!
Ona hii ....
Mkuu wa polisi mkoa - anateuliwa na rais / mwenyekiti wa ccm
mkuu wa polisi wilaya - vile vile
wakuu wa vitengo mbalimbali kwenye jeshi la polisi - vile vile
mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya .... Vile vile ....
Tutegemee nini kama wote hawa ni wateule wa kiongozi mmoja!
 
mawaziri tunao watatu tu rafiki yangu katika JF ni Magufuli, Mwakyembe na kidogo Prof Tibaijuka. k=hata mimi wassira simjui lakini nahisi ni mwapropaganda wa namna ya kuimaliza CHADEMA
 
Ndio maana tunasema Ondoeni CCM madarakani ili kumaliza udhalimu huu! mmenikumbusha machungu sana kwenye uzi huu..........................
 
Umesahau picha ya mhusika namba 1! Nakukumbusha tu aliyemuua Mwangosi ni slaa kama asingelazimisha kufungua tawi ambalo lilishafunguliwa na ndugu Nyimbo Mwangosi tungekuwa naye sasa hivi

Chama

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
this is what great thinkers do..... expose the bad guys???
 
Hivi ni kweli damu ya huyu ndugu yetu imepotea bure? Ina maana serikali yetu haiwatambui hawa askali? I hate our government, i hate ccm. Tuna wasomi wazima wazima ndani ya ccm lakini wanakubali kuburuzwa tu kama majuha!
Mungu saidia familia ya huyu jamaa!
 
Halafu mwigulu nchemba anasema mauaji yanapangwa na cdm au anafikiri kwa kutumia masaburi?????si hao wanaonekana????
 
Huyu askari mwenye chupa ya maji ya kunywa alitokea kwenye gari la RPC au. Ni vigumu sana kwenye pata shika kama hii uwe na maji ya kunywa
 
Umesahau picha ya mhusika namba 1! Nakukumbusha tu aliyemuua Mwangosi ni slaa kama asingelazimisha kufungua tawi ambalo lilishafunguliwa na ndugu Nyimbo Mwangosi tungekuwa naye sasa hivi

Chama

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

chama kwa hyo polisi walimuua mwangosi kwa ya slaa?
Kwa hyo utetezi wako kwa polisi ni kwamba cdm walikuwa wanarudia kufungua tawi lililokwishafunguliwa?
Kama unamtia slaa hatian nyimbo unamwacha wapi?
Kama una akili kaa chini utafakari pengine utagundua kuwa kinachokusukuma wewe kumshambulia slaa kila mara ni chuki inayotokana watanzania kumpenda kwa jinsi anavyowafundisha maovu ya chama chako.
 
Last edited by a moderator:
slaa ni mhusika kwa asilimia 120% tawi fuatilia mtiririko mzima wa ufunguzi wa tawi sina haja ya kurudia polisi walifanya kazi inavyotakiwa ya kulinda sheria za nchi!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Sasa kama sla ndio mtuhumiwa kwanin asikamatwe? Hii ndio inaonyesha jinsi gani maccm mlivyo wauaji na wadhalim. Ila siku zenu zipo karibu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama sla ndio mtuhumiwa kwanin asikamatwe? Hii ndio inaonyesha jinsi gani maccm mlivyo wauaji na wadhalim. Ila siku zenu zipo karibu.

Endelea kumtetea mauji; yeye ndiye aliyeshinikiza kuvunja amri halali

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Umesahau picha ya mhusika namba 1! Nakukumbusha tu aliyemuua Mwangosi ni slaa kama asingelazimisha kufungua tawi ambalo lilishafunguliwa na ndugu Nyimbo Mwangosi tungekuwa naye sasa hivi

Chama

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Maoni yako kwenye hii issue ya Mwangosi hayana tofauti sana na NRA! blames anything but sio guns! Na hapa kila kitu ni Dr Slaa! Sasa kwanini wamempeleka mahakamani polisi? Mwangosi ni 'victim' mmoja, hao wengine vipi?
 
Endelea kumtetea mauji; yeye ndiye aliyeshinikiza kuvunja amri halali

Chama
Gongo la mboto DSM

Ama kweli we Chama noma! Kama Dr Slaa ni muuaji no 1 kwa nin hajakamatwa au serikal inamwogopa? Acha kutetea uovu wa polisi kutoa roho za watu wasio na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…