PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

propaganda za kijinga hizo, ni wapi hizo picha zinapoonesha wameuwa?

Muuwe nyinyi halafu mje kudanganya humu? Tutawakamata tu.

unajua watu wengine tunatafutiana ban humu ndani kwa nini unaupeo mdogo wa kufikiri we zomba? Acha usenge usenge wewe!
 
Kamanda weka wakikufungia utabadili jina mbona mimi aipiti wiki mbili lazima wanifungie manake siwezagi kuvumilia ungese ngese wa watu wengne humu ndani kama ritz,mbopo,pasco utakuta na hili wanatetea polisi hakuna mabwege kama hawa..

Join Date : 18th August 2012
Posts : 35
Rep Power : 310
Likes Received 6

Likes Given 1

Ahsante kaka kwa kunipa mbinu ya kujiumba upya. Nilikuwa naogopa kupigwa ban, sasa siogopi tena!
 
Ee Mungu walaani wote waliofanya unyama huu.Watie upofu ee bwana..Wauwe wote ee Mungu.Amina...!
 
Hapa pro-magamba huwaoni ng'o....shame on u all! na mlaaniwe hapa duniani hadi mbinguni
 
Jamani hizi picha ninazituma BBC na CNN ili ulimwengu wote ushuudie jinsi polisi wa Tz wasivyo heshimu haki za binadamu na kazi za waandishi wa habari kwa ujumla!
Mkuu be serious kama unazituma naomba uzitume kweli..

Sina hamu hapa...
 
Given the circumstance neither you nor i is safe in this country,huu si wakati wakupiga propaganda ni wakati wa kusimama na kutetea utu wa mtu,hakuna popote pale duniani mtu mwenye haki ya kuchukua/kutoa uhai wa binadamu mwingine.inawezekana hili swala lisikuguse wewe na mimi kwasababu huyo si ndugu yetu au hatumfahamu kwa ukaribu zaidi,lakini tusiposimama mimi na wewe kukemea mauaji haya hata sisi HATUPO SALAMA,mda wetu bado na ukifika tutauawa vile vile,kitendo hiki hakivumiliki,hakisameheki nani majonzi kwa mpenda haki yeyote yule.watanzania tusimame pamoja kupinga kitendo hiki cha kikatili na katu huu usiwe ni upepo tu ambao utapita.
 
mara kadhaa nimekuwa nikielezea kutoridhishwa kazi na utendaji wa polisi.

Angalia picha ya kwanza polisi wa uniform wako sita, askari kanzu mmoja mwenye shati la bluu.

Marehemu hana silaha, alikuwa na kamera mkononi: angalia mgongoni mwa afande mwenye kirungu utaona video kamera ya marehemu, Polisi wana silaha sita na rungu moja.

Marehemu alikuwa yuko kwenye pose ya kuanguka hivyo hakupose immediate danger kwa askari, nguvu iliyotumika ilikuwa unecessary under the circumstances.


Hakuna self defence, hapa ni murder askari wote walikuwa common intention ya kuua huyo marehemu
 
Una email address ya hao bbc na ccn au tukutumie?! Usisahau na aljazeera mkuu! Woga wetu ndio vifo vyetu kwa sasa!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
hawa jamaa wamelogwa? Chanzo cha yote ni vikao vya Wassira na Mwigulu
 
Ee Mungu walaani wote waliofanya unyama huu.Watie upofu ee bwana..Wauwe wote ee Mungu.Amina...!
 
Walianza kwa madaktari, kisha kwa wauza magazeti, sasa kwa waandishi wa habari, what is next?

Haya mauaji yatakuwa yanapangwa barabara na watawala.

Nasubiri kusikia tamko la Martin Shigella.
 
haki ya nani ccm imeandaa maangamizi mengi tusilegee watatumaliza hawa
 
HII DHAMBI LAZIMA IWALE HATA KAMA WATAJIDAI WALIKUWA WANATEKELEZA AMRI YA WAKUU WA NCHI. Nguvu inayotumika kudhibiti M4C inatimiza maneno ya Wassira kuwa CCM itawapeleka CHADEMA itakako na CHADEMA haitawapeleka popote.

Serikali lazima ielewe wananchi wameichoka na wanatak kitu mbadala cha kuwaletea haki na kitendo cha kuendelea kuzima harakati za mageuzi kwa nguvu kubwa hivi ni dalili dhahiri kuwa inapokaribia 2015 umwagaji mkubwa wa damu utatokea na hapo wananchi wataamua liwalo na liwe na hapa yatatokea yanayotokea Syria. Serikali isitake wananchi wakose uvumili kwani ndiko nchi inakoelekea. CHADEMA imeonekana mkombozi na njia ya kuizuai ni wao nao waanzishe kampeni za mageuzi na siyo kuwazuai wananchi wasipewe ujumbe. Damu iliyomwagika Mungu atailipa kwa yeyote aliyehusika hata kama mahakama zetu kandamizi zitawapa haki wauaji ambao wanaonekana wazi kwenye picha.
Hebu tusubiri tuone reaction ya serikali kwani ushahidi upo wazi.
 
Mkuu.
Unaweza kuziba sehemu ya siri ya hiyo picha na kuirusha hapa jukwaani, lazima tuwaonyeshe watawala madharimu kuwa kama wao wakificha sisi tuna vyombo vya kutupa ukweli ili mwisho wa siku waaibike kwa uwongo wao kama suleko!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

Kabisa, kuna application simply kama Microsoft Paint (any picture editing application) unaweza kutumia ukaziba sehemu za siri. Kama vipi tuwasiliane nikusaidie uzibe ili uweke full picha itasaidia kutoa picha kamili ya tukio bila kutia shaka... hawakawii kubadiri hadithi hawa...
 
huwa mnawezaje kuchukua matukio haya precisely huku mabomu yanapiwa ukichukulia kwamba police huwa hawataki kuonekana ili ukweli usijulikane?
 
Join Date : 18th August 2012
Posts : 35
Rep Power : 310
Likes Received 6

Likes Given 1

Ahsante kaka kwa kunipa mbinu ya kujiumba upya. Nilikuwa naogopa kupigwa ban, sasa siogopi tena!

Ninahuzuni ila umenifanya nicheke.
 
Back
Top Bottom