Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
Ni wazi watataka kupotosha, video ya tukio zima itawekwa YouTube.
Kama waandishi hatutashirikiana katika hili, naachana rasmi na tasnia hii.
I wish tungeamka mapema....
Inanikumbusha hadithi ya yule Askofu wa Germany aliyekataa kukemea/kupambana na wanajeshi wa Hitler eti kwa sababu yeye hakuwa Muyahudi au mtu hatari hadi walipomjia yeye...Anakiri kuwa kwa kukaa kimya kwake..."When the came for him, there was no one left to speak for him"....Haya ndiyo yanaoyotokea Tanzania. Wengi wetu ambao leo hayajatukuta, tunajiona kama tuko safe...
Hii ni amani feki (pseudo-peace), na tukiendelea kukaa kimya huko mbele ya safari tutajuta!