..Richard Nixon 1969 to 1974.
..Gerald Ford 1974 to 1977.
..Jimmy Carter 1977 to 1981.
..kama njaa ilitokea mwaka 1974 basi waliotupatia mahindi ni Nixon au Ford, na hao walitokana na chama cha REPUBLICAN.
..Mahindi ukiyavuna kabla hayajakomaa unaweza kutengeneza SILAGE au chakula cha mifugo.
..Mahindi yakikomaa ndipo husagwa na kutengenezwa unga kwa ajili ya ugali, etc.
..Kuna watu wamekuwa wakidai Wamarekani walitupa unga ambao ni chakula cha mifugo jambo ambalo si kweli.
..Pia kuna mahindi yanayotoa unga mweupe, na mahindi yanayotoa unga wa manjano.
..Ziko taarifa kwamba unga wa manjano una lishe bora kuliko unga mweupe.
View attachment 2293532
Cc
N'yadikwa ,
CHIEF WINGIA ,
Mdukuzii