PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Kumekuwa na mjadala tweeter juu ya chuma ya UMEME wengi wanadai hii ni Tesla S7 na wengine wakidai ni BYD Co na wengine wanasema ni Changan Deepal S7.
Mtaalamu wa haya magari Mad Max utatusaidia kujua hili gari angalau na Sisi wengine tunaweza kuanzia kujichanga Kwa miaka ya baadae tumiliki na Sisi, baada ya miaka 5 haya magari yatakuwa mengi TANZANIA najua wabongo wapo wabishi wa magari.