PICHA: Hii chuma ya umeme iliyoteka mitandaoni ni aina gani?

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
10,786
Reaction score
35,916
Kumekuwa na mjadala tweeter juu ya chuma ya UMEME wengi wanadai hii ni Tesla S7 na wengine wakidai ni BYD Co na wengine wanasema ni Changan Deepal S7.

Mtaalamu wa haya magari Mad Max utatusaidia kujua hili gari angalau na Sisi wengine tunaweza kuanzia kujichanga Kwa miaka ya baadae tumiliki na Sisi, baada ya miaka 5 haya magari yatakuwa mengi TANZANIA najua wabongo wapo wabishi wa magari.

 
Ni Deepal S7 2023 mkuu. Ni EV ila category ya REEV (range extender EV) yaani ina engine ya 1.5L ila hii engine haihusiki na kusukuma magudurumu kazi yake inafanya kama generator kuichaji battery ikiisha.

Kwahiyo unaweza kuendesha kilometa za kutosha bika kuchaji we ukawa unaweka tu wese.

PS: Usiichanganye na Plugin Hybrid ambayo yenyewe ina engine na battery la kuchaji ila engine yake muda mwingine inasukuma magurudumu.
 
Dar zipo sana hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…