Picha hii ina tafsiri gani?

View attachment 3213412
  1. Prediction: Huo mkono wa huyo kijana naona kama una ujumbe fulani au hoja kinzani
  2. Prediction: Naona mpaka mpambe wa Rais anasubiri amri tu hapo......

Disclaimer:
Picha haina lengo la kudhalilisha utu wa Rais.
Mkuu hua naheshimu sana mabandiko yako, lakini hili umekosea sana. Haijalishi umeweka disclaimer. Pamoja na yote na mapungufu yote, hatuna budi kumuheshimu Mheshimiwa Rais, sio tu kwa Urais wake lakini pia kama mama kwetu na mwanamke wa staha.
So kwa unyenyekevu unaweza kufuta au kubadili bandiko hili la akutweza utu wa mheshimiwa.

Disclaimer: Siingilii uhuru wako wa kupost chochote!!
 
Kwa nini mkuu?

Nadhani unahitaji elimu zaidi ili uamke kutoka kwenye uzombi
 
Nimefurahi sana kusoma observation yako ambayo nadhani wengi wataunga mkono.
 

Huyu jamaa sijui ni nani kwenye hii inchi....kuna mengi ya kufikirisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…