Picha hii ina tafsiri gani?

Who is this guy? (Kwa sauti ya TID)
 
Itoshe tu kusema "vijana kama hawa wana mchongo ndogo sana katika nchi"
 
Jamaa anaongea kwa ustaarabu tu,kama mikono yote angenyoosha ingekuwa ana complain,lkn mkono wa kushoto umeshika vifungo vya koti au kashika koti?

Pili kama ingekuwa complain kwa raisi hata mlinzi angekuwa anamuangalia msemaje

Kwa wacuba tu wataelewa hili
 
View attachment 3213412
  1. Prediction: Huo mkono wa huyo kijana naona kama una ujumbe fulani au hoja kinzani
  2. Prediction: Naona mpaka mpambe wa Rais anasubiri amri tu hapo......

Disclaimer:
Picha haina lengo la kudhalilisha utu wa Rais.
Mtu anaulizwa kwanini amekula halafu anataka kuondoka bila kulipa? Itakuwa huko ughaibuni.
 
English course unaanza kunifundisha lini?
 
Ngoja nikachukue dictionary nitarudi baadae.
 
Hivi si tuliambiwa ana mume na kutambulishwa siku ya msiba wa Magufuli? Yupo wapi mzee Hafidh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…