PICHA: Hii ndio maana halisi ya mfariji wa Taifa. Rais Samia Abarikiwe sana

Nimesikiza kipindi cha Gea Leo Jioni akifanya Mahojiano na akina mama wanakopeshwa kuchomwa sindano na waganga wa maabara nimestuka sana...! Nikajiuliza siku hizi Clouds Media nao wanatumia AI kwenye vipindi vyao??? Ile content imenistua sana!!!
 
Nimeangalia hiyo picha nikatamani kusema kitu ila nikakumbuka kwamba Sina mwana sheria acha tu nipite kimya kimya!
 
Unaongea nini wewe? You are talking shit man!
 



Lucas Mwashambwa unapata raha gani kuona matusi na maneno ya dharau kwa Rais?

Soma comments zote uone maneno ya watu

Kwa akili yako do you think unamjenga Rais au Unabomoa?
 
Lucas Mwashambwa unapata raha gani kuona matusi na maneno ya dharau kwa Rais?

Soma comments zote uone maneno ya watu

Kwa akili yako do you think unamjenga Rais au Unabomoa?
Umewahi kusoma habari za Galileo? Kiwango chako cha Elimu kipoje?
 
Huyu aliyesema KIFO NI KIFO ndiyo unayemwita comforter - in- chief?? Are you serious? Huyu anayeteka, anayebaka, kulawiti, kutesa na kuua. Huyo mama yako Samia ni muuaji. Hatumtaki, mchukue wewe ukae naye kwako. HATUMTAKI, HATUFAI MUUAJI HUYO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…