Picha: Hiki ni kiumbe gani? (Kama samaki mtu mdogo) nimekuta home

Picha: Hiki ni kiumbe gani? (Kama samaki mtu mdogo) nimekuta home

Kilikuwa kinatingisha mkia, nimekapiga na jiwe, nimemchoma Moto kalikuwa na nyama, kuungua kwa mdoli wa plastic na mjusi ni tofauti kabisaa
Duuh kama ni kiumbe kwanini ulimchoma moto??? Hukuhisi maumivu yake???

Hiyo ni roho mbaya sana
 
Ila imani ni jambo la ajabu mwamba saivi akiambiwa ataugua ataugua kweli
 
Mkuu hapo hakuna mpiga nyeto mbona kama mbegu hizo za kiume [emoji41]
 
Kilikuwa kinatingisha mkia, nimekapiga na jiwe, nimemchoma Moto kalikuwa na nyama, kuungua kwa mdoli wa plastic na mjusi ni tofauti kabisaa

Kwanini umemuuwa na kumchoma moto? Au ni imani yako imekutuma hivyo?
Kama hakukudhuru kwanini umuuwe
Hapo ilikuwa uchunguze kama ana wenzake au kuna mama yake hapo
Najua utanishangaa ila wapenda viumbe watanielewa

Mimi ningemchukua na kujaribi kumuona kama atapona na kujua ni kiumbe gani
Ila anaonekana ni kambale mtoto au chura mdogo ila jamii ya wale wakubwa (toad)
 
Back
Top Bottom