PICHA: Hili jengo linalojengwa Kariakoo kwa PPP ni balaa ni zaidi ya Mlimani City unaambiwa Serikali itajizolea zaidi ya TZS 2.5bn kila mwaka

Hahahahaa ngoja nikae kimya. Hiyo hela ni asilimia 5 ya hela itayopatikana hapo. My country people
 
KAFULILA kuna vitu anafahamu ngoja tuone
 
Let's put things into perspective:

The total cost of this project is Tshs 36.7 billion, and they expect to collect Tshs 2.5 billion annually in rent. This gives an annual rental yield of approximately 7%.

Let’s compare this yield with other nations. For example, Natwest Bank in the UK considers an annual rental yield between 5% and 6% to be good and anything above 6% is very good.


Pia tulinganishe na nchi nyingine uko mbeleni: although the figures below pertain to residential real estate, they are not significantly different from those of commercial real estate. You will see that most yields are below 6%.
So, a 7% yield is healthy.
They will recoup their investment capital in under 20 years.
 
Umeelewa sana but 2.5bn sio jambo la kubeza
 
Huyo Kafulila akija rais mjuba atakaa jela muda mrefu sana.

Kama ni mjanja ajipange mapema. 10 storey building kwa 50B?

DDC wana eneo la kujenga Size ya Milimani City?

Ukiona mikutano kama hiyo na maelezo mengi yasiyo na akili za kuelewesha ujue tayari. Ndio akili zetu zimefika mwisho. Kuongopa ili tujiibie kwa kupiga deals.
Aibu sana. Sasa hivi hakuna kitru kinaenda bila kuleta janja janja na kujiibia kidogo.
 
Ukiona mikutano kama hiyo na maelezo mengi yasiyo na akili za kuelewesha ujue tayari. Ndio akili zetu zimefika mwisho. Kuongopa ili tujiibie kwa kupiga deals.
Aibu sana. Sasa hivi hakuna kitru kinaenda bila kuleta janja janja na kujiibia kidogo.
Kafulila sio mwizi nakupa hii ikusaidie huko mbeleni
 
Kafulila sio mwizi nakupa hii ikusaidie huko mbeleni

wapi nimesema ni mwizi? Uzoefu unaonyesha mbwembwe zetu kwenye public projects zinabeba mengi sana. Muda utayaweka sawa yote.
Hata Richmond ilikuwa mkombozi wa kero ya umeme wakati inapigiwa debe. na IPTL pia. Usiniambie tumebadilika sababu hatujawahi kubadilika
 
Ngoja tuone hii itakavyokuwa
 
Hongera Rais Samia hongera sana Kafulila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…